Ingekua Wewe Ungefanyaje?

Hilo ni janga kweli... Nashindwa kuimajin labda km ikinitokea but Allah forbid!!! Mweh!
 
Hapo ndipo penyewe
Kuna pingamizi

Utafanyaje?

Sasa unataka nibaki huku huku ili niku cheat?

embu niambie vipingamizi kama vipi?
ukishavelezahaponinaweza kukusaidia...............ntaboard mwewe fasta mbona...!!
 

Maadam umeafiki kama kutakuwa na madhara ya sabuni mtashirikiana kuyatatua...ni sawa. Ila mazoezi ya kuchosha mwili kila siku...mh labda kama kazi zake ni physical!

Hilo la mwanamke wa kumteka moja kwa moja inabidi na wewe uwe mtundu kuhakikisha kuwa hawazii mwingine kabisaaaa...!
 
My dia haya mambo haya yaache tu..si unajua hamna mtu mwenye full package...sasa akatoka uko nje akapata anachokimiss kwako ingawa una matundu lakini ndo hvyo anakusaliti....mwisho wa siku unabaki unajiuliza yani pamoja na utundu wote ila bado katoka....yani ni majanga mamy....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…