Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 20,563
- 44,354
Mpaka hapo jua mkeo kakuzidi akili, yaani ukiona mnaishi pamoja na mkikosana wewe ndo unaonekana kuumia zaidi ya mwenzio basi jua wewe ndo kilaza.
Shukran mkuu...ila nafasi ya yeye kuomba tena naona haitokuepo mana ntaingia chimbo kwenda kutafuta mwanadada wa kiafrika African beauty aliefundwa huko rural tanga huko wanaojua mapenzi wanaojua kushukuru nimreplaceKwenye swala la hela kumpa pungufu yake upo sahihi na akidhira wewe chukua usimpe akiomba tena
Bado unaseleleka na hisia tu..!!! Uhalisia anao yeye. By the way, always PSYCHOLOGICAL TORTURE inauma sana kuliko physical. Usikute anafanya hayo kukuhangaisha kihisia.
Una uhakika na unachosemaShukran mkuu...ila nafasi ya yeye kuomba tena naona haitokuepo mana ntaingia chimbo kwenda kutafuta mwanadada wa kiafrika African beauty aliefundwa huko rural tanga huko wanaojua mapenzi wanaojua kushukuru nimreplace
Yeye aendelee kukazwa na mapedeshee wanaompa nyongeza
aiseee..
Jojo kivuruge usharudi 😂Kwanini arudi na furaha halafu akaoge 😂
Kwanini aoge yani 🤣
Naomba million 2😞Shukran mkuu...ila nafasi ya yeye kuomba tena naona haitokuepo mana ntaingia chimbo kwenda kutafuta mwanadada wa kiafrika African beauty aliefundwa huko rural tanga huko wanaojua mapenzi wanaojua kushukuru nimreplace
Yeye aendelee kukazwa na mapedeshee wanaompa nyongeza
Kivuruge mimi kwenye ubora wangu 🤣Jojo kivuruge usharudi 😂
Joto...kule chini kulikuwa kunafukuta...
Furahaaa!
Bado unaseleleka na hisia tu..!!! Uhalisia anao yeye. By the way, always PSYCHOLOGICAL TORTURE inauma sana kuliko physical. Usikute anafanya hayo kukuhangaisha kihisia.
Niliona pia. Nikasema kivuruge kavuruga uzi wa watu mpaka kapigwa pin 😂.Kivuruge mimi kwenye ubora wangu 🤣
Kwa hiyo kaenda kupoza kule chini na maji 🙌
Ule uzi wa jana wa mfungo nimeona umeniquote leo...lakini sina access ya kukujibu mods wamenipiga ban nisichangie ule uzi 😆
🤣🤣Niliona pia. Nikasema kivuruge kavuruga uzi wa watu mpaka kapigwa pin 😂.
Yeah! Binti kamtesa sana kisaikolojia jamaa yetu wakati wala hakukuliwa nje. Na safari nyingine sidhani kama atagombana naye asubuhi asubuhi tena maana anajua kitakachofuata. I like this girl! Na akili zake na zako ni kama vile zinafanana fanana tu. I can see you doing this to your man!