kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Pole mkuu umeshagongewa
Usilete makasirikio mkuu. Pambana na hali yako. Kama amechapwa huko nje amechapwa tu na hakuna kitu utafanya. Daima kumbuka kwamba "the p*ssy is NEVER real yours hata kama umeitolea mahari. It is just your turn".. Pole sana mkuu...usikutwe na hii ishu mzee watu Wazuri sana ku type wengi hapa hamna wake Wala wenza ama wapenzi wenye malengo mnaishi kama mapopo..
Najinyonga basi uchukie vizuri. Rubbish 🤣Usilete makasirikio mkuu. Pambana na hali yako. Kama amechapwa huko nje amechapwa tu na hakuna kitu utafanya. Daima kumbuka kwamba "the p*ssy is NEVER real yours hata kama umeitolea mahari. It is just your turn". Pole sana mkuu...
View attachment 3279965
Kwani huyo Mlaji huko alipokwenda ameondoka nayo ama kuimaliza?
Mwache akaioshe, then mkienda Kulala nawe zamu yako kuichapa
Mkiendekeza hayo mambo ya wivu na ugomvi usioisha ndani ya nyumba
Mtajikuta Siku moja umemchinja Binti wa watu ama naye amekuwahi Kwa kukuwekea sumu kwenye chakula



Pole Mkuu 🙏
Akitoka kuoga mwambie apanue miguu uikague, jaribu pia uone kama imetumika
Utatupa matokeo kesho kama utafanikiwa kujikili😁😁najikili Mimi ...
anakurusha roho tu, anaweza akawa hajafanya unachofikiria, ila anakuwa kama anakuaminisha kuwa ameshatetemaPale ambapo asubuhi unagombana na mkeo ama mwenza wako ambaye mnaishi nae na baada ya hapo kila mtu anaenda kwenye mishe zake za kila siku.
Jioni unajikuta wewe ndio umewahi, ukiwa umepumzika unamsubiri, kumbuka mligombana asubuhi na mwenzio aliondoka bila furaha.
Anarudi unamuona ana furaha kweli kweli na hakai hata anapitiliza hadi bafuni kwenda kuoga.
Utafanyaje
Nitakagua Kila kitu kwa kumwangalia tu huku nikiuliza maswali.Hii ishu wanaichukulia utani lakini ni ishu nzito sana kisaikolojia unaweza hata kuua usipokua makini..
Sasa mkuu swali kwako , utakagua sehem za Siri za mwenzio?Au utakagua nini