Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,897
- 7,525
Pale ambapo asubuhi unagombana na mkeo ama mwenza wako ambaye mnaishi nae na baada ya hapo kila mtu anaenda kwenye mishe zake za kila siku.
Jioni unajikuta wewe ndio umewahi, ukiwa umepumzika unamsubiri, kumbuka mligombana asubuhi na mwenzio aliondoka bila furaha.
Anarudi unamuona ana furaha kweli kweli na hakai hata anapitiliza hadi bafuni kwenda kuoga.
Utafanyaje