Ingekua Bongo Huyu Angezua Neno

mara kidole cha kati mara tena kushikana nanihino ndio nini sasa khaaaaaaaaaaa
 
Kuna kipindi enzi za kina Petit alipokuwa pale England kuna mchezaji alisema wazi kuwa us.enge unaharibu soka, akashambuliwa sana...lakini hiyo ilikuwa ndio hali halisi
 
Mwisho wa siku watatuharibia ladha ya soka, maanake itakuwa kama hivi
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi enzi za kina Petit alipokuwa pale England kuna mchezaji alisema wazi kuwa us.enge unaharibu soka, akashambuliwa sana...lakini hiyo ilikuwa ndio hali halisi

sasa nizamu ya ashley cole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…