Infinix smart 6 haikubali kupandisha 4G network

Infinix smart 6 haikubali kupandisha 4G network

Nilipewaga na mtu infinix smart5 .. last year, ile simu haikumaliza masaa 72 mikononi mwangu.

Picha linaanza nimeiweka chaji nakuja kuitoa simu ni ya moto kinyamaaaaa, kesho yake nikapiga simu mahali nikaiweka sokoni, ikakutana na mmasai mmoja siku hiyo hiyo ikauzwa.

Kwanza camera ukungu mtupu
Afu haina muonekano mzuri, nzito bila sababu za msingi.
 
Back
Top Bottom