GE2025 INEC, NIDA wamkana Polepole

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
MAbadiliko ya kweli ya katiba,majadiliano ya kitaifa,uhakiki huru wa mifumo kuunganishwa!ili yaaminike makanusho hayo.Wazalendo mliopo jikoni kwa nafasi zenu na uzalendo wenu kwa taifa hata kama ni kupekua nyeti za kuku,mfanye kwa ukombozi wa taifa hili.
 
Wewe ulitegemea wakubali kuwa wameunganishwa na RIWAYA? THE OBVIOUS DENILA WAS EXPECTED
 
Wajiandae..!!!
 
Wangekubali hakika ningemuona Polepole ni muongo
 
Wamechambia migomba mibichi wanebaki na mafiii yao hao Nida na Inec
 
Mbona wote wawili hawajasema kana wako tayari kukaguliwa na wataalamu huru???
 
Hivi Mwenyekiti wa INEC, Jaji Jacobs Mwambegele, anapata wapi ujasiri wa kudai yuko huru wakati yeye na tume nzima wameteuliwa na mmoja wa wagombea?

Bado tuna kumbukumbu ya kauli hii iliyowahi kutolewa kwenye kampeni, "utamtangazaje mpinzani mshindi wakati mimi ndiye nilikuteua na nakulipa mshahara?"
 
Kitu kinaitwa Tume ya uchaguzi ni Tawi la ccm ndiyo maana inaitwa Tumeccm
 
Pole pole ni meongo mno na hii inafanyika ili tu kupata sympthy ya wanachi kuwasahaurisha mauaji ya awamu ya tano chini ya dictator jpm
Wewe ndiyo muongo kwa kumsingizia polepole uongo, kwa sasa watanzania wameamka wanajua kuchuja Ukweli hawataki uongo wenu huko ccm
 
Vyombo Hatari kwa Demokrasia ya Tanzania
1-Polisiccm
2-Mahakamaccm
3-Hakimuccm wa kisutuccm
4-Wakiliccm
5-Magerezaccm
6-Masajiliccm
7-Tume-ccm
Hivyo vyombo ni matawi ya ccm ni mali binafsi za ccm, havifanyi kazi kwa mujibu wa sheria pindi vikipelekewa jambo la uonevu kwa chadema , hufanya kazi kwa mujibu wa Amri Haramu za kishetani toka kwa ibilisi wa ccm, huwa huru kwa kesi zingine za wananchi, lakini ikija kesi ya chadema huwa chini ya Amri za ccm tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…