ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,784
Wakuu Hali za Waarabu ni Tete.
Takribani watu 2,300 wamefariki Dunia Kufuatia Mafuriko yaliyoletwa na kimbunge Daniel kilichoambatana na mvua kubwa ambazo zimevunja mabwawa na majengo ya gorofa kando ya Mji wa Pwani wa Derna huko Libya,Mamlaka za Libya zimeripoti.
Wakati maafa hayo mithiri ya Janga yalitokea ,maelfu ya watu wengine hawajulikani waliko Kwa mujibu wa ripoti za Umoja wa Mataifa.
Mafuriko haya yanaikumba Libya ikiwa ni siku chache yangu Janga la tetemeko liipige Morocco na Kupeleka watu karibu elfu 2 kupoteza maisha.
View: https://www.instagram.com/p/CxGCdvTI5ZF/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
My Take
Poleni sana Waarabu wa Libya,tuko pamoja kwenye kipindi Hiki Cha majonzi Kwa maombi na Sala 😭😭😭😭
Mungu awape pumziko waliofafiki na faraja Kwa walioppteza wapendwa wao kutokana na Janga la Asili.
View: https://twitter.com/AfricaViewFacts/status/1701618650522747227?t=-gC7zSbxsRHN7IBkFqRW5g&s=19