Frank Mazagazaga
Member
- Sep 11, 2018
- 38
- 54
"Hili si boksi la kawaida. Ndani yake kuna mamia ya vifaranga ambao bado hawajaanguliwa."
Niliposema maneno hayo mbele ya kundi la wafugaji waliokuwa wamekusanyika sokoni, baadhi walitabasamu kwa dharau.
Mmoja alicheka na kusema,
"Kwani boksi linawezaje kuzaa kuku?"
Mwingine akaongeza,
"Hizi ni mbinu mpya za kuwalaghai wafugaji."
Nilibaki nimesimama kimya, nikiwa nimeshika incubator yangu ya home made mkononi.
Sikuwa na hasira.
Kwa sababu nilijua walichokuwa wakiona kwa macho yao hakikuwa kile nilichokuwa nakiona mimi.
Kwao ilikuwa sanduku la mbao.
Kwangu ilikuwa kiwanda cha uhai.
Nilianza kujifunza kutengeneza incubator miaka kadhaa iliyopita.
Sikuanza kwa sababu nilikuwa na pesa nyingi.
Nilianza kwa sababu nilikuwa nimechoka kuona kuku wakiatamia mayai ishirini na moja, halafu wakatotoa vifaranga wachache huku mayai mengine yakiharibika.
Nilianza kujiuliza swali moja tu.
"Je, kweli kuku ndiye njia pekee ya kutotolesha mayai?"
Ndipo safari ilipoanza.
Nilisoma.
Nikajaribu.
Nikakosea.
Nikarekebisha.
Mpaka nikagundua kuwa siri haikuwa kwenye sanduku.
Siri ilikuwa kwenye mazingira yaliyomo ndani yake.
Wafugaji wengi hutengeneza incubator.
Lakini wachache hutengeneza mfumo.
Ndani ya incubator kuna vitu vinne ambavyo havipaswi kukosekana hata siku moja.
1. Temperature & Humidity Controller.
2. Heater au taa ya joto.
3. Humidifier
4. feni ya kusambaza joto.
Ukikosa kimoja tu, incubator hubaki sanduku lenye joto.
Sio mashine ya kutengeneza uhai.
Lakini hata ukiwa na incubator bora duniani...
Ukichagua mayai mabaya...
Safari inaishia hapo hapo.
Yai linapaswa litokane na kuku mwenye jogoo.
Lisiwe limekaa zaidi ya siku saba hadi kumi.
Lisiwe na ufa.
Lisiwe dogo sana wala kubwa kupita kiasi.
Kwa sababu incubator haiwezi kurekebisha kosa lililotokea kabla yai halijaingia ndani yake.
Halafu ndipo jambo ambalo wengi hulisahau linaanza.
Ugeuzaji wa mayai.
Incubator ya manual humhitaji mfugaji kugeuza mayai mara tatu au nne kwa siku.
Asipofanya hivyo...
Kiinitete kinaweza kushindwa kukua vizuri.
Lakini kwenye automatic...
Mashine hufanya kazi hiyo yenyewe.
Safari haijaisha.
Vifaranga wanahitaji sehemu yenye joto sahihi.
Temperature Controller huendelea kuwa mlinzi wao.
Huwapa joto linalohitajika huku ukitumia umeme kidogo kuliko kuwasha taa bila udhibiti.
Na kama eneo lako lina changamoto za umeme...
Solar inaweza kuifanya safari isiishie katikati.
Siku ile...
Wale waliokuwa wakicheka waliomba kuifungua incubator.
Walipotazama ndani...
Hawakuona sanduku.
Waliona mfumo wa kutotolesha mayai yaliyokuwa hai.
Waliona uhai ukiwa unaandaliwa.
Ndipo mmoja wao akasema maneno ambayo sitayasahau.
"Tulidhani unauza boksi... kumbe unauza Vifaa na teknolojia."
Nilitabasamu.
Kwa sababu nilijua...
Incubator haibadilishi mayai.
Hubadilisha namna mfugaji anavyofikiri. 💯
0657 923 089