Maajabu ya mimea jamii ya #LEGUMES

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Kwa mfutiliaji na mtu anayejua kiasi sayansi atagundua kuwa hii mimea yote ni jamii ya legumes!

Jamii hii ya mimea ina sifa ya kuweza kugeuza hewa ya Nitrogen kupitia mizizi yake.

Nitrogen ikigeuzea huwa Ammonium....

Sasa hii Ammonium au Ammonia ina sifa za ajabu katika nguvu za asili.

Kwanza ni kibebeo kizuri sana cha hii nguvu ya asili.

Ili tuelewane nitatoa mifano ifuatayo:

Ukisikia mkojo ni dawa kubwa sana ya kimwili na kiroho basi ni kwa kuwa ndani ya mkojo kuna ammonia na chumbi chumvi n.k....ile harufu ya mkojo ndo ammonia yenyewe sasa.

Sasa mwili wa binadamu au mnyama una mwanga au nguvu ya asili. Mwanga huu hubebwa kwenye mkojo kwa sababu ya ammonia n.k.

Ndio maana unaambiwa ukikuta mitunguli au mitego ya kichawi ukiikojolea basi unaharibu uchawi wote. Au ukiweka mkojo ndani utakuwa salama dhidi ya ushirikina.

Mikojo ya watoto ni bora zaidi.

Ikumbukwe kuwa mwanga au nguvu hii ya asili ndio kitu pekee kinachofanya na kuzalisha kila kitu.

Yaani hiii ndio dawa yenyewe ya kila ugonjwa wa kimwili au kiroho. Nguvu hii ndio haswaa inayofanya maajabu kila penye kutokea maajabu hayo.

Ibada huwa zina maana moja tu. Kuivuna nguvu hii na ndio maana wazee wetu waliabudu katika mazingira ya asili inapopatikana kwa wingi...... hii ni sentensi kubwa sana.

Turudi kwenye mifano ya Ammonia(NH3) na ammonium(NH4+)...!

Popote penye hivi vitu viwili kuna nguvu kubwa sana.

Wachache wetu timeshakutana na maajabu ya mbaazi. Ni kwa sababu mizizi yake na mti wenyewe umejaa hivyo vitu.

Pia hata maharage tunajua yanatumika sana katika tiba asili. Ni kwa sababu ya hizo sababu.

Hii ni moja ya kitu ambacho ni rafiki sana wa nguvu za asili.

Kuna watu watajua tinabahatisha.

Basi ngoja tuende ndani kidogo!

Ukiingia mtandaoni utakuta baadhi ya wachina wana utamaduni fulani wa kuchemsha mayai kwa kutumia mikojo ya watoto!! Hawa watu sio wajinga.

Mayai haya huwa ni tiba kubwa mno.

Wanachofanya ni kuvuna nguvu za asili kwenye mkojo kwa kutumia mayai.

Umewahi kusikia kuwa ukikojolewa na mtoto ni baraka!!!? Basi hapa kuna ukweli sana.

Mkojo wa mtoto umejaa nguvu sana. Na hiyo nguvu imechukuliwa mwilini mwake na Ammonia iliyopo kwenye mkojo huo.

Sasa hawa wachina wamegundua kuwa kwenye mkojo kuna nguvu. Ila kunywa mkojo mara nyingi huleta shida.

Maana hata wahindi mkojo kwao ni tiba na wapo wanaupiga tu kama soda kila kukicha.

Hapa nisionekane nimehama maada ya mkunde pori na mbaazi. Hapana. Najaribu kueleza kwa kina nguvu ya ammonia ambayo ndiyo inafanya mbaazi na mkunde pori kuwa na matumizi makubwa katika sayansi ya asili hasa tiba.

Sasa ukichemsha mayai kwa mkojo basi ile nguvu yake onachukuliwa na yai. Maana maysi nayo yana nguvu sana.

Ila nguvu ya mayai inatokana na salfa(sulfur) ndio maana mayai yaliyoharibika(mayai viza) ni chaguo zuri sana kwa wataalamu wa asili. Kwa kifupi ile harufu ya yai bovu n.k inatokana na salfa(sulfur) au wengine waita kibiriti.

Hivyo mayai huchukua mwanga wa mkojo uliopo kwenye ammonia ya mkojo na kuiweka kwenye sulfur iliyopo ndani yake na kuwa salama kwa kutumiwa!!

Ikumbukwe kuwa salfa ni dawa kubwa pia. Lakini hapo hapo ili salfa iwe vyema katika kutibu basi huwa inachemshwa siku nzima katika mikojo ya watoto!? Kuna kitu tunakipata hapa?????

Sasa salfa ikiwa imechemshwa kwenye mikojo ya watoto inakuwa na nguvu ambazo binadamu siyo rahisi kuamini maana hata mimi mwenyewe bado siamini vizuri!

Mfano umewahi kusikia kitu kinaitwa mercury nyekundu!??

Basi, Zebaki nyekundu hutokana na vitu kadhaa ikiwemo salfa, zebaki nyeupe(ya kawaida), antimony n.k!

Sasa hii zebaki(mercury) nyekundu ndio mwisho ya maajabu...!

Mfano unaweza kuiweka katika chupa yenye mafuta au maji kisha ukianza kumimina maji hayo au mafuta hayo utajaza bahari na mafuta kwenye chupa hayaishi!!!.....sijajua kama haya ni maajabu bado lakini maana kuna maajabu zaidi ya haya.

Sehemu nyingi za kale walisema hili. Watafiti walikutana na hili pale ambapo walikutana na vibatari au taa kwenye makaburi yenye maelfu ya miaka na bado vilikuwa vimewaka kwa mafuta kidogo sana pamoja na mercury nyekundu.

Kama umewahi kusikia hadithi ya Elisha kumtengenezea mama mjane mafuta mpaka vyombo vya kijiji vikapelea basi jua ndo mambo hayo sasa. Maana hii kitu ilikuwa na manabii damu damu. Na kwa kifupi ukiipata hii kitu ukajua kuitumia basi utaacha historia ya kuwa moja ya manabii na watenda miujiza.

Siyo sisi watu wanatafuta ili wauze kwa vijisenti kwa waarabu ambao nao hawajui kutumia zaidi ya kuweka kwenye visima vya mafuta ili mafuta yatoke mengi kama Elisha alivyofanya!

Haya yote nilikuwa natoea mfano wa mbaazi, mkunde pori na jamii ya legumes ambazo zina nguvu ya ajabu. Na hiyo nguvu tukasema onatokana na ammonia na tukatoa mfano wa matumizi ya ammonia mpaka kufikia kusafishia salfa mpaka kwenye zebaki nyekundu n.k!

Kuna vingi vya kuthibitisha nguvu hii kuu kupitia ammonia.

Naomba nitoe mfano niliowahi kuufanyia majaribio mwenyewe.

Katika sayansi ya asili huwa tunaweka vitu katika mafungu manne tu. Kuna moto, hewa, maji(kimiminika) na yabisi(earth).

Nguvu za asili katika vitu hivi iko katika mfuatano ufuatao;

Moto unachukua nafasi ya kwanza kuwa na nguvu, pili hewa, tatu maji na mwisho yabisi(vitu vigumu)...... hapa maana ni kuwa ni rahisi kupata nguvu ya asili kwenye moto kuliko vingine n.k.

Sasa ukiona kitu chenye hali ya chini kama yabisi imebadika kuwa maji basi jua imepata nishati ya ziada na nishati hiyo waweza kuivuna!..... hapa ni tofauti kidogo na sayansi ya sasa.

Mfano maji yakigeuka kuwa mvuke yanakuwa na nguvu kubwa sana ya asili.

Na hii inaelezea ni kwa nini umande una nguvu ya ajabu sana.

Kama umewahi kupitia biblia ukasikia habari za Umande wa Mbinguni na vinono vya dunia basi jua kinaongelewa kitu kikubwa sana.

Na kitu hicho ndicho walichokuwa wanakipigania Esau na Jakobo. Wao walikiita busara.

Hiyo busara si hii ya mvi kama sisi tubavyodanhanyana. Hiyo ilikuwa ni busara kweli ambayo hata akina Suleimani ndo waliomba wakapewa kidogo tu na mpaka leo tunawaongelea kwa miujiza yao.

Busara hiyo ni kitu kinachoshikika. Kinatengenezwa. Ila kinaitwa busara kwa kuwa busara ama hekima si kingine ni nguvu au mwanga wa asili. Hili hata mfalme Suleimani kalielezea waziwazi katika kitabu chake cha WISDOM OF SOLOMON kuwa hekima ni nguvu fulani iliyopo katika asili. Nguvu hii ikimjaa binadamu basi anakuwa ni kitu kingine sana.

Sasa tujiulize Esau alimlilia baba yake kuwa umempaje Jakobo hekima yote hujabakiza hata tone tu!!???

Je hekima tujuayo sisi mtu aweza kuitoa yote ikaisha kichwani mwake. Yaani kwa mfano anakuwa tahira au zezeta!??? Hapa ndo tujiongeze.

Sasa kwa taarifa tu wenzetu walikuwa ni wanasayansi wa asili wakali sana.

Kuna vitu walikuwa navyo ambavyo viliwafanya mpaka leo tunawaona walipendelewa na Mungu. Hawa walikuwa na HEKIMA.

Jamani; hekima ni kitu cha kushikika au hekima ni mwanga au nguvu ya asili ambayo mtu aweza ivuna na kuitumia!!!!

Kwa maana hii kuna vitu vyenye hekima au huu mwanga kuliko vingine!!

Hivi mnamuelewa *Mtume Mohammad* aliposema kuwa malaika alimjia usiku na BESENI LILILOJAA HEKIMA kisha akauchukua moyo wake na kuuosha kwa hiyo hekima kisha akaurudisha huo moyo kifuani na kisha akambeba kumpeleka kumuinesha mambo ya mbinguni.!!!!?

Hekima ipo kwenye beseni. Halafu sisi eti tunapachika kila mzee mwenye mvi eti ana busara nyingi!!!?? Hahaaa.

Halafu tena wazee wetu ambao maskini ni waathirika wakubwa sana wa uongo na utumwa wa kifikra! Wazee wa kisasa, wazee wa mujini ambao wametuaminisha kuwa ukoloni mambo leo ndio maisha bora na mababu zetu waliofanya miujiza kwa kutumia HEKIMA za kweli eti walikuwa MASHETANI TU!!?

Basi tu, turudi kwenye mambo yetu.

Sasa kwa kifupi ni kuwa kuna vitu watu walijua. Kuna sayansi tumeiacha. Kuna nguvu tunaiogopa ila bado tunawaabudu wale waliojua na kuitumia nguvu hiyo!

Leo watu wanashangaa ni kwa nini watu wa ISRAELI wanaonekana wana akili kuliko jamii zingine.!!?

Ni kwa sababu babu zao wa kale walitumia busara au dawa zenye busara au HEKIMA na uzao wao utaendelea kuwa hivyo kwa mda sana.

Kuna mtu atabisha halafu hapo hapo kila siku anahubiri habari za MANNA ya jangwani au chakula cha mbinguni.

Na hapo hapo imeandikwa laivu kabisa kuwa Hiyo MANNA ilitengenezwa kwa UMANDE WA MBINGUNI ulivyofunika ARDHI ndo ikatokea hiyo manna.

Pia imeandikwa wazi jinsi ISAKA alivyomwelekeza ESAU namna ya kutengeneza MANNA kwa kutumia UNONO WA DUNIA(yabisi) na UMANDE WA MBINGUNI baada ya kuwa jakobo kachukua MANNA YOTE na kutokomea pasipojulikana.

Ijulikane kuwa kinachoongelewa kuwa NI HEKIMA basi ni mwanga wa asili. Yaani mwanga unaotumiwa na Mungu kutengeneza vitu vyote vya asili visionekana na vinavyoonekana. Hapa tunapata picha!!???

Vuta picha huo mwanga ndio ukawa akilini mwako, yaani ukawa unakuonesha kila kitu kilivyo na jinsi unavyoweza kukitengeneza...yaani kila kitu kasoro vile ambavyo vipo mbinguni au unapotokea huo mwanga.

Unaona wazee wetu wa asili walivyobarikiwa kuliko tunavyowadharau.

Umegundua ni jinsi gani wataalamu wa asili hujua mambo mengi kwa kutumia huu mwanga.!!!?

Natamani kuendelea ila muda wangu hautoshi!

Ila tujaribu kuwaelekeza watoto wetu njia wasije wakawa mazezeta wa kudharau asili kama vizazi vyetu na waliotutangulia hapo nyuma baada ya kuchotwa na ukoloni.

Nilitamani kuelezea njia za kutengeneza HEKIMA au kuvuna huu mwanga ila nitafanya hivyo siku zijazo.

Ila kwa kifupi unaweza kutafuta kitabu kinaitwa MUTUS LIBER...yaani kitabu cha kimya maana kibaongea na picha tu. Kina kurasa kama 15 tu hivi.

Ukurasa wa kwanza unamuonesha Jakobo alipotumia HEKIMA na kulala na kuonana na Mungu. Hapo anaamshwa na Malaika n.k

Kurasa zingine zinaonesha namna ya maandalizi ya UMANDE WA MBINGUNI n.k.

Huu umande atakayeufahamu ndo ufunguo wa Yote hata ENOKO au ENOCH yu asema hivyo katika vitabu vyake ya Kuwa.;

Kuna maji(umande) ambao siku zijazo binadamu watauchukulia poa lakini laiti wangelijua nguvu yake basi wasingehaika kutafuta chichote zaidi ya umande huu na kufahamu na kuokoa roho zao na ya kuwa ni umande unaotengeneza manabii na marafiki wa Mungu na Wafalme!!!!!!!

Rajab A. Mumbee

0759770233
0622327215
 
ASANTE KWA TAARIFA
 
Huo mkunde pori ndo wanaita mkundekunde?
Kuna mrembo mmoja aliingia shambani kwangu nilipomuuliza anatafuta nini akanijibu anatafuta mkundekunde.. Sasa sijui alikua anatafuta wa nini
 
Tunaomba hiko kitabu cha MUTUS LIBER Mkuu
U may upload km itawezekana
 
Back
Top Bottom