Tetesi: Increment ni mwezi August (mshahara ujao)

Nimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!

Kazi iendelee!
Mhhh....Badala ya kuomba salary adjustment...

Unalilia yeary incliment ambayo kwa kampuni binafsi kubwa tu ya madini niliyokuwa nikiifanyia Kazi....

Salary incliment ya juu ilikuwa haizidi asilimia 10....! Inachezea asilimia 2-8 ikizidi...

Sijui huko Serikalini kwenu!
 
Mara ya mwisho kupata increment mshahara wangu uliongezeka Kwa 180k kwenye basic. Kwangu Mimi naona ni big deal
 
Yaani Watu Wanavyodai Inckiment Wangekuwa Wanadai Jib duty Kama Hivyo naamini Saizi tunguwa Country donor na Tungekuwa Mfano bora wa kuihudumia Jamii na kuwasaidia TAKUKURU kupambana kila Kona na Mafisadi Papa Mfano Wala Ruzuku za Chama kwa Mbinu ya Kukodi Chopa🤣🤣🤣🤣.
Unapo dai salary Incriment unatakiwa kutenda haki kwani Increment ina depend to
Your Work Perfomance.
Ukifanya Vizuri lazima unadai kulipwa vizuri na ukifanya Vibaya ni lazima udai kulipwa Vubaya (Ingawa ni viumbe wachache wanakubaliana na Kupunguziwa😂😂😂).
NB: Tukilipwa Vizuri jamani tujitahidi kufanya Kazi Vizuri. Hii nchi inatakiwa Watumishi wa umma wenye uzalendo na ufanisi
 
Take home ya 340 huo ufanisi utoke wapi
 
Kwani July increment haijatoka? Nachofahamu ni kuwa kila mwezi ulioajiriwa ndani ya mwaka unapewa nyongeza hiyo
 
Nimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!

Kazi iendelee!
mtacheka mkiongezwa alfu 10,000 au hata ikiongezwa 50,000 ndio nini icho sasa?waongeze 200,000 hivi hapo tutasema vicheko vyenu vitakuwa na maana. unaongezwa alfu kumi au alfu hamsini afu unasema umeongezwa mshahara? wakati watu wamepiga dp world huko mabilion.
 
Kuanzia laki sio mbaya hizo ni kilo 40 za mchele/ zaidi ya bia 50
 
Back
Top Bottom