ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,763
- 45,319
Mkuu mbona hii habari toka juzi tunayo
Mhhh....Badala ya kuomba salary adjustment...Nimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!
Kazi iendelee!
Mara ya mwisho kupata increment mshahara wangu uliongezeka Kwa 180k kwenye basic. Kwangu Mimi naona ni big dealMhhh....Badala ya kuomba salary adjustment...
Unalilia yeary incliment ambayo kwa kampuni binafsi kubwa tu ya madini niliyokuwa nikiifanyia Kazi....
Salary incliment ya juu ilikuwa haizidi asilimia 10....! Inachezea asilimia 2-8 ikizidi...
Sijui huko Serikalini kwenu!
TGTSP: Level 10:12mama ni muelewa wa hali ya juu tena hana papara mambo yake .nampongeza raisi wa jamuhuri ya tanzania na chama cha mapinduzi kwa ujumla
Take home ya 340 huo ufanisi utoke wapiYaani Watu Wanavyodai Inckiment Wangekuwa Wanadai Jib duty Kama Hivyo naamini Saizi tunguwa Country donor na Tungekuwa Mfano bora wa kuihudumia Jamii na kuwasaidia TAKUKURU kupambana kila Kona na Mafisadi Papa Mfano Wala Ruzuku za Chama kwa Mbinu ya Kukodi Chopa🤣🤣🤣🤣.
Unapo dai salary Incriment unatakiwa kutenda haki kwani Increment ina depend to
Your Work Perfomance.
Ukifanya Vizuri lazima unadai kulipwa vizuri na ukifanya Vibaya ni lazima udai kulipwa Vubaya (Ingawa ni viumbe wachache wanakubaliana na Kupunguziwa😂😂😂).
NB: Tukilipwa Vizuri jamani tujitahidi kufanya Kazi Vizuri. Hii nchi inatakiwa Watumishi wa umma wenye uzalendo na ufanisi
T
Taja salary scale yakonikutajie annual incriment yako
mtacheka mkiongezwa alfu 10,000 au hata ikiongezwa 50,000 ndio nini icho sasa?waongeze 200,000 hivi hapo tutasema vicheko vyenu vitakuwa na maana. unaongezwa alfu kumi au alfu hamsini afu unasema umeongezwa mshahara? wakati watu wamepiga dp world huko mabilion.Nimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!
Kazi iendelee!
Kuanzia laki sio mbaya hizo ni kilo 40 za mchele/ zaidi ya bia 50mtacheka mkiongezwa alfu 10,000 au hata ikiongezwa 50,000 ndio nini icho sasa?waongeze 200,000 hivi hapo tutasema vicheko vyenu vitakuwa na maana. unaongezwa alfu kumi au alfu hamsini afu unasema umeongezwa mshahara? wakati watu wamepiga dp world huko mabilion.
nani akuongeze laki aisee, serikali hii umeisahau?Kuanzia laki sio mbaya hizo ni kilo 40 za mchele/ zaidi ya bia 50
Mbona uzi ulishawekwa tangu tahehe 26 waziri Simbachawene alivyotoa hilo tamko?Nimepata za chini chini ya kua mwezi August wafanyakazi tutacheka!
Kazi iendelee!
Utaongezewa sh 33,000 toka tgts f1 kwenda tgts f2Wa TGTS F
mimi nimeangalia barua yangu ya promotion nimejichekea tuu amna maajabuAnnual increment angalia kwenye barua yako ya promotion, au uliza kwa HR wako, inajulikana