PostGE2025 Inawezekanaje kuwa na amani ya kudumu bila haki za msingi na uhuru wa raia?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,240
Reaction score
90,297
Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu.

Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano wa Tanzania ambayo amani imekuwepo bila haki za msingi za raia na uhuru wao kuzingatiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…