me was real shocked pale nilipoona kuna watu wanapost wakati mie siwezi, tried reaching muheshimiwa not reachable nikasema basi tena kifo cha wengi harusi........
wakwetu mimi nilijua tumekula ban...kazi kweli kweli
ha ha ha naona hasira zake alizimalizia kwenye Value huoni mpaka sasa hajatokea ana mning'inio!! Mi nilitaka nikwendee hewani nikuulize kulikoni wote mmepotea nikakuta wese hamna na nipo porini huku no access!!hahaa hommie wako alinipigia akasema mamusha nimekula ban nini?? cant access....
lol....kumbe hamna ujanja eeh!!!
Tatizo lako huaminiki.Pearl anaogopa kujirisk kwa kukupa namba yake.Jisafishe kwanza.
we mods hawezi kutoa ban kwa watu wote hao....maana nilichake JF home page nikakuta current members walikua 31 tu..wakati kila siku wanakua zaidi ya 500..nikajua Tz mambo yameharibika!![/QUOTE]
Kumbe wewe unabeba maboksi? haya mbona umewahi kuamka,kulikoni?
Dah kwa kusoma between the lines sikuwezi........Kumbe wewe unabeba maboksi? haya mbona umewahi kuamka,kulikoni?
wakwetu mimi nilijua tumekula ban...kazi kweli kweli
we mods hawezi kutoa ban kwa watu wote hao....maana nilichake JF home page nikakuta current members walikua 31 tu..wakati kila siku wanakua zaidi ya 500..nikajua Tz mambo yameharibika!![/QUOTE]
Kumbe wewe unabeba maboksi? haya mbona umewahi kuamka,kulikoni?
anabeba bunduku huyu sio buree!!! Charity nimekumis ujue.......
Huaminiki mtu wangu!unatishia amani ya mabinti wengi.Sijui tukusaidieje.Mwambie awe na amani tu kwani nimechafuka sana jamani?
ha ha ha naona hasira zake alizimalizia kwenye Value huoni mpaka sasa hajatokea ana mning'inio!! Mi nilitaka nikwendee hewani nikuulize kulikoni wote mmepotea nikakuta wese hamna na nipo porini huku no access!!
Comrade labda wanaogopa mifupa hiyo inayotembea......watu wamezoea minyamanyama...LolMwambie awe na amani tu kwani nimechafuka sana jamani?
Kama ni ban Iribin anaweza kutuponza hahahahaha
Huaminiki mtu wangu!unatishia amani ya mabinti wengi.Sijui tukusaidieje.
kwa kosa lipi mamaaa Preta mpaka tupewe Ban ??
hahahhaaa! mbona hajakaa kilijendi,yupo kimpwaz zaidi.anabeba bunduku huyu sio buree!!! Charity nimekumis ujue.......
Hata mimi nimekumisi my dia.I'll come kula vyepe wiki ijayo.
hahahhaaa! mbona hajakaa kilijendi,yupo kimpwaz zaidi.
Hata mimi nimekumisi my dia.I'll come kula vyepe wiki ijayo.
weee jidanganye huyo mpwa anakamata vya moto huo
poa my dia....mi nimefunga kwaresma lunch siwezi kwenda, au ndo unanikwaza
ha ha ha dah afadhali maana tena ungenipa za kimgomabani kabsaa!!wese hamna una maana drainage imebuloku au??? aaaaah nimekupata Meku bora hata kukuja hewaji ningemalizia hasira kwako.....
Hehehehe dah siamini kwa lipi napenda sana kujiexpress au lipi? au namega sana?
Hehehehe dah siamini kwa lipi napenda sana kujiexpress au lipi? au namega sana?
Comrade labda wanaogopa mifupa hiyo inayotembea......watu wamezoea minyamanyama...Lol