Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
US hawajaliona hili la kununuliwa?
US hawajaliona hili la kununuliwa?
Hivi kila mpinzani anayehamia ccm kanunuliwa?
Kwahiyo unakili kwamba CCM ndio inezalisha chuki?Chadema umekosa viongozi ila ina mamilioni ya watu walio nyuma yao.
Sio kwamba wanaipenda Chadema ila wanaichukia CCM.
Viongozi wa Chadema wangekuwa na uthubutu wa kukinukisha, watapata support kubwa sana toka kwa watu wasiowategemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo kama yale ya Segerea juzi ndiyo yanayozalisha tabia za kukinukisha kama kule Somalia.Bwashee watanzania wamekuzwa katika ustaarabu mambo ya kukinukisha kama unayapenda nenda kaishi Somalia!
Chadema ni bora kuliko ccm kwani ccm ingekuwa bora cdm isingeungwa mkono.Kuna vyama vingi vya upinzani bado wananchi wanaviamini kukiko ccm.Chadema umekosa viongozi ila ina mamilioni ya watu walio nyuma yao.
Sio kwamba wanaipenda Chadema ila wanaichukia CCM.
Viongozi wa Chadema wangekuwa na uthubutu wa kukinukisha, watapata support kubwa sana toka kwa watu wasiowategemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulikofikia tunahitaji watu wakukinukisha