Inawezekana makamanda wa Chadema waliohamia CCM ni magarasa na turufu bado zimebaki Ufipa maana bado wanaonyesha Ufundi!

CCM imenunua watu wenye njaa, hawana chochote kichwani. Mwita Waitara ana nini yule mlevi? Mkamuonga na unaibu waziri kwa Lengo la kushawishi wengine wafike bei. Je kuna la maana CCM kimeongeza, zaidi ujinga na kuendelea kutumia dola kuumiza watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii plan failure ya jiwes and company, badala ya kuuwa umasikini eti yuko bize kuuwa upinzani.
 
Hizi ni akili zako za kijinga hakuna hata mtu wa kusupport ujinga Kama huu. Hata viongozi wa Chadema wanaakili ya kujitambua ndiyo maana hawawazi unachowaza wewe!
Chadema umekosa viongozi ila ina mamilioni ya watu walio nyuma yao.

Sio kwamba wanaipenda Chadema ila wanaichukia CCM.

Viongozi wa Chadema wangekuwa na uthubutu wa kukinukisha, watapata support kubwa sana toka kwa watu wasiowategemea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM imenunua watu wenye njaa, hawana chochote kichwani. Mwita Waitara ana nini yule mlevi? Mkamuonga na unaibu waziri kwa Lengo la kushawishi wengine wafike bei. Je kuna la maana CCM kimeongeza, zaidi ujinga na kuendelea kutumia dola kuumiza watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia, ukichunguza sana, wabunge na madiwani walionunuliwa na CCM, hawakuwa na umaarufu wowote bali wao waliupata umaarufu kwa sababu walikuwa CHADEMA.

Ni CHADEMA ndiyo iliyowafanya wawe wabunge au madiwani. Ukitaka kuhakikisha hilo, subiria October, ndiyo utajua. Wengi ndio utakuwa mwisho wao kisiasa, na hawatasikiaka tena.
 
Chadema umekosa viongozi ila ina mamilioni ya watu walio nyuma yao.

Sio kwamba wanaipenda Chadema ila wanaichukia CCM.

Viongozi wa Chadema wangekuwa na uthubutu wa kukinukisha, watapata support kubwa sana toka kwa watu wasiowategemea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi gani ana muda huo? Arusha waliouawa ni wafuasi tu. Hajukuwa na kiongozi hata mmoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom