The Boss, labda kuna jambo kubwa hilijui! Unadhani hata yale mapato ya serikali ya trilioni 1. 4 Tshs kwa mwezi ni ya kweli? Usidanganywe mkuu! Hii serikali ya Magufuli imejua kuwa watanzania wanahitaji nini! Matangazo mazuri! Hawahoji, hawaulizi, wao wanaitika "Hapa kazi tu" Mpango ameenda nao sambamba! Magufuli anamalizia! Sisi tunaohoji na kuchambua tunaonekana wachawi wa Magufuli!
Usione watu wanalipwa ili kumsifia mzee, lipo jambo! Ila mimi ninachojipa moyo ni kuwa "wengi watang'amua mapema"