Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
viongozi wamefikia mwisho wa kufikiri. wao wanaamini kila kitu ni Dar. Hamoshia serekali dodoma utaona jinsi gani jiji litaacha nafasi. ukiuliza kisa cha kitokuhamoa dodoma kwa serekali hakuna bali ni porojo tu
Hilo siyo suluhisho la matatizo ya TanZania hata kama Serikali ikihamia Dom bado idadi ya watu itaendela kuongezeka Dar kwa maana Dar ndiyo mji tajiri TZ na utabakia kuwa hivyo, suluhisho hapa ni population control basi, hakuna lingine ni lazima Serikali ije mpango wa kudhibiti uzaaji hovyo wa bila mpango!