Misunderstood
JF-Expert Member
- Aug 4, 2020
- 385
- 887
- Thread starter
- #41
Basi kwanza badili hilo jina,unamjua vzr Tbug?
Nampata vizuri
, wacha ikae hivo tu!Basi kwanza badili hilo jina,unamjua vzr Tbug?
, wacha ikae hivo tu!NIANZE WA KUSEMA, kumsahau wa zamani inawezekana kabisa... Shida kubwa mtu anapoingia kwenye mahusiano mapya, kwa aliyechana... huwa ni KULINGANISHA KILA ANACHOFANYA MWENZA WAKE MPYA NA ALICHOKUWA ANAFANYIWA NA WA ZAMANI. Ukiacha kulinganisha unayofanyiwa na huyu mpya na yale ya wa zamani, utafanikiwa sana kwenye magusiano mapya.Habari vipenzi!
Nina swali linanitatiza mno, nikaona ni vyema nililete huku hakika nitapata majibu!
Inapata miezi kama saba sasa tangu niachane na mpenzi wangu niliyemzoeaga sana niliyekuwa nae kwa kipindi cha miaka sita! Mwaka wa sita na wa mwisho ulikuwa mbaya sana kwetu ilopelekea mwezi wa mwezi wa 02/2020 uhusiano wetu kugonga mwamba. Nikapitia maumivu makali mnooo sikudhani hata kama nitafika hii leo. Na sasa nimebakiwa na hofu je ipo siku nitamsahau kabisa? Haitaniaffect kwenye mahusiano mengine hasa ya ndoa?
Sasa naomba sana kwa wale waliowahi kupitia extreme pain and heart breaks kutokana na mahusiano kuvunjika tafadhali waniambie experience yao! Je walifika muda hayo maumivu kuisha kabisa? Hata walioko kwenye ndoa haijawahi kuwaathiri? Ilichukua muda gani hiyo hali kuisha kabisa? Iliisha baada ya kufanya nini?
NB: ilishindikana kureconcile kabisa, ilikuweka mambo sawa.
Natanguliza shukrani zangu! Asante.
Kumsahau unae mfahamu na mliezoeana Sana,nisawa nakumkumbuka usie mjua Wala kuwa naukaribu nae....Mim ilintokea iyo huu nimwaka6 Sasa nakla mtu anamaisha yake lakn paka leo nmeshndwa kusahau kabsa nainansumbua kchwani pamoja nakutoka mkoa ule...labda Kama uyo wako hakuna makubwa mliowah kufanya na hamkuachana kwamatat o makubwa utaweza fankiwa.chamsngi jarbu kupambania maisha yako tu.... Naujfunze kupenda kwatahadhali...mfano me sasaiv habar yamapenz yadhati staki tena kuiskia Nisha jifunza binadamu niwakatili......mapenzi yakweli nadhati yapo kwababa na mamayako tu hao ndio hawatokuacha ata upatwe nanini.......jitaidi kujiweka bze tu muda wore....it's punguza ila sio kusahau kabsa huo niuongo labda kama age yako ipo kwenye foolish age....apa ndio huwa inakuwa Kama moja yahatua yaukuaji ila Kama tayar umekomaa kiakl huwez kumsahau mazima.lazma moyoni mwako kutakua namambo mawili....kinyongo cha kisasi,au dua mbaya yeye kuhalbikiwa mambo yake paka aje ku conface kwako kwaunyama alio tenda
NIANZE WA KUSEMA, kumsahau wa zamani inawezekana kabisa... Shida kubwa mtu anapoingia kwenye mahusiano mapya, kwa aliyechana... huwa ni KULINGANISHA KILA ANACHOFANYA MWENZA WAKE MPYA NA ALICHOKUWA ANAFANYIWA NA WA ZAMANI. Ukiacha kulinganisha unayofanyiwa na huyu mpya na yale ya wa zamani, utafanikiwa sana kwenye magusiano mapya.
Good...basi jikaze kwa heshima yake😬Nampata vizuri, wacha ikae hivo tu!
Kumbe mapenzi yanatesa hvi..Nimewahi kupitia unayopitia na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuijua JF kwasababu katika kugoogle namna ya kusahau mtu nikaletwa huku JF
Nilikuwa natamani kulia lakini machozi hayaji
Appetite ikapotea
Nikapiga hata simu nyumbani kuomba kughairisha mwaka manake nilijiona hata darasani hakieleweki
Nikaweka uzi humu wa kuomba msaada wa namna ya kumsahau ambapo kimsingi nilipata mawazo kadhaa ambayo yalinisaidia kiasi chake
Kimsingi kilichonisaidia kupotezea ni baada ya kuweka mbele mambo ya msingi zaidi katika maisha yangu,nikaanza kutumia muda wangu mwingi kusoma sana kwasababu ndio kilinipeleka kule
Nikaanza kufikiria mtu nayempenda zaidi katika hii dunia ambaye ni baba yangu,nikaanza kuwasiliana nae sanaaaaaa
Nikaanza kwenda kanisani siku za jumapili na jumamosi kufanya usafi
Jitahidi kuwa busy na mambo yako,hayo unayopitia sasa hayatakuwa hivyo milele....pole,pambana
Naona Kama kuna watu wanaona lahisi,sijui labda mm Moyo wangu ndio dhaifu kwayule au nkweli hili Jambo linawezekana....anisamehe Mungu maana siwez semea Moyo wamtu.ila me nmeshndwa....tena ajabu zaidi uyu mtu Sasa amezaa nmwngne napamoja yakuwa mkoa mwngne me Bado naumia...huwa siamn katka shiriki hasa ukizngatia nizaliwa nakukulia town kabsa Babu bb wote nawakuta mjn....lakn kwahli huwa nahc inawezekana Sangoma amehusika...haiwezekani miaka6 Bado Moyo unateseka.nmepambana Sana kufanya kla haina yaushaur lakn siwez maliza miez2 bla kumkumbuka....nasio kuwa sikuwah kua nawatu kabla yake au baada yake.....Naludia tena Kama bado miaka18-25 hil Jambo linawezekana kusahaulka maana nihatua yaukuaji ila Kama miaka26-1500000 Apo lazma uteseke moyoni nakichwan Kama alkuwa mtu unaehc nisahii kwako napia mlkaa kwamuda....kunamuda adi najichukia mwenyewe kwann Mungu alnpa Roho yahuruma kiasi ichi wapo walio wahi nishaur twende kwamtaalam nkalpe kisas lakn siamn kabsa katka ilo nanlshndwa kwena.inafka wakat namuombea dua mbaya lakn Mungu ajbu adi naona Kama ananionea mm tu.why me....;Ila kidogo Asubuh nmefarjka kias chake kwakuhc kumbe siko pekeangu duniani ninae Teseka Tupo wengi;;;pole Sana dadaangu jitad tu kujshugulsha muda mwng....ila kusahau kabsa niuongo kwannavyo isi mm ingawa neno langu sio sheriaOh pole boss! Kuna vitu kwenye maisha ni fate zetu hazikimbiki! Ila Mungu yupo anatuwazia mema!
daaah natamani niseme na mm kipindi yaliyonikutaga kama yako lakini anyway lemme me be cool funika kombe mwanaharamu apite life still goes onHabari vipenzi
Nina swali linanitatiza mno, nikaona ni vyema nililete huku hakika nitapata majibu!
Inapata miezi kama saba sasa tangu niachane na mpenzi wangu niliyemzoeaga sana niliyekuwa naye kwa kipindi cha miaka sita! Mwaka wa sita na wa mwisho ulikuwa mbaya sana kwetu ilopelekea mwezi wa mwezi wa 02/2020 uhusiano wetu kugonga mwamba. Nikapitia maumivu makali mnooo sikudhani hata kama nitafika hii leo. Na sasa nimebakiwa na hofu je ipo siku nitamsahau kabisa? Haitaniaffect kwenye mahusiano mengine hasa ya ndoa?
Sasa naomba sana kwa wale waliowahi kupitia extreme pain and heart breaks kutokana na mahusiano kuvunjika tafadhali waniambie experience yao! Je, walifika muda hayo maumivu kuisha kabisa? Hata walioko kwenye ndoa haijawahi kuwaathiri? Ilichukua muda gani hiyo hali kuisha kabisa? Iliisha baada ya kufanya nini?
NB: Ilishindikana kureconcile kabisa, ilikuweka mambo sawa.
Natanguliza shukrani zangu! Asante.
Kumbe mapenzi yanatesa hvi..
Kweli ulikuwa na wakati mgumu,hongera kwa kuweza kushinda hizo changamoto.
Hahah Eti Kinyama.!!
Bila shaka sasa unayawezea
Basi ukiachana nae wa sasa uje uniambie maumivu yakeHahaha
Sina uhakika kwasababu tangu aniache yule sijawahi kuachana na mwingine
Basi ukiachana nae wa sasa uje uniambie maumivu yake
Hahah kwani yule wa kwanza ulijua!??Hatuachani bhana![]()

Ila mapenz bhna et nikaanza kufanya usaf kanisan jmos😆😆😄😄😄😆😆Nimewahi kupitia unayopitia na ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuijua JF kwasababu katika kugoogle namna ya kusahau mtu nikaletwa huku JF
Nilikuwa natamani kulia lakini machozi hayaji
Appetite ikapotea
Nikapiga hata simu nyumbani kuomba kughairisha mwaka manake nilijiona hata darasani hakieleweki
Nikaweka uzi humu wa kuomba msaada wa namna ya kumsahau ambapo kimsingi nilipata mawazo kadhaa ambayo yalinisaidia kiasi chake
Kimsingi kilichonisaidia kupotezea ni baada ya kuweka mbele mambo ya msingi zaidi katika maisha yangu,nikaanza kutumia muda wangu mwingi kusoma sana kwasababu ndio kilinipeleka kule
Nikaanza kufikiria mtu nayempenda zaidi katika hii dunia ambaye ni baba yangu,nikaanza kuwasiliana nae sanaaaaaa
Nikaanza kwenda kanisani siku za jumapili na jumamosi kufanya usafi
Jitahidi kuwa busy na mambo yako,hayo unayopitia sasa hayatakuwa hivyo milele....pole,pambana