kwa hiyo jimbo lipo wazi upo mkoa gan tuanzie hapo kwanzaMi ni ke boss
kwa hiyo jimbo lipo wazi upo mkoa gan tuanzie hapo kwanzaMi ni ke boss
Ila mapenz bhna et nikaanza kufanya usaf kanisan jmos😆😆😄😄😄😆😆
Mwenzako amekaa kwenye uhusiano miaka 6 bila shaka walipitia mengi sana samahan kwa hili swali wewe na mwenzako mlikaa pamoja kwa muda ganEe mkuu,ilibidi nirudi kwa Mungu kwa namna yoyote ile aninasue kwenye lile janga
Mwenzako amekaa kwenye uhusiano miaka 6 bila shaka walipitia mengi sana samahan kwa hili swali wewe na mwenzako mlikaa pamoja kwa muda gan
pole sana naona mlipata na wajukuu pole sana mkuu
Asante sanapole sana naona mlipata na wajukuu pole sana mkuu
Heri ingekuwa rahis hivyo..Me nishawah pitia heartbreak flan ambayo Mimi kwa kweli naishukuru kwamb imetokea kwa wakat ule maan imenifanya nkawa matured,, Yan heartbreak inatakiwa itokee mara moja tu ili ukufunze kwamba mapenz sio kitu cha kushobokea sanaa.. we ukiwa na mpenz wako mpend kwa kiasa anachokupenda ww na usijalii sanaaa ili usipate dissapointments kiufup know ur place in peoples life and never over play ur part maan ndo kitakachokuumiza!! Kwel nmesoma comments nashangaa mtu et kapat hearbreak more than onceukishapta ile ya kwanza unatakiwa ikufunze Kwelilkwel ili uspate ingn


Jamaa akikuomba akurudie kwa sasa utafanyaje?Pole na hongera kwa kuipita hiyo phase! Si mchezo mi natamani niamke it’s 2022 already! Iwe imebaki story! Na sio rahisi kumove on kama watu wanavoshauri ila kama ndo fate yangu sina namna
Hiyo paragraph ya mwisho nadhani umeamua kumtamanisha maisha mazuri tu. Mambo yangekuwa matamu kama hivyo kila mtu angetamani breakup ili afaidi maisha.They say it takes half the time you dated to move on. Kama ulidate miaka 6 itakuchukua miaka 3 kumsahau huyo jamaa.
Anyways binafsi nishawahi kupitia mvunjiko moyo mara kadhaa ila mara ya mwisho ilikua balaa . Ila kumbuka mda ndio daktari wa ukweli. Mean time jaribu kufanya changes kadhaa ili uyaone maisha yako yanebadilika yani unahitaji maisha mapya ili uweze kusahau ya zamani. Hama mji unaoishi kama huwezi hama mtaa/ nyumba etc. Tafuta hobby mpya. Kama ulikua hufanyi mazoezi/ jogging anza, join gym nisehemu nzuri kukutana na watu wapya. Ila usianze drugs/ alcohol kwa wakati huu utapotea unless ni mtumiaji wa muda.
Yani became a new person, dress well, eat really good,work out, look good, smell good, start a new business, try to gain your self esteem back finally bila kujua one day utaamka asubuhi life will feel good again n utakua ushamove on.
All the best!
Hiyo paragraph ya mwisho nadhani umeamua kumtamanisha maisha mazuri tu. Mambo yangekuwa matamu kama hivyo kila mtu angetamani breakup ili afaidi maisha.
Mi ni ke boss
Hesabu hazipo hivyo. Normally ukiwa fully occupied hata huo muda wa kumuwaza mtu unaukosa.inaweza ikawa anamishe za msingi kuliko wewe negativity