Inawezekana kweli daraja la Dar na Zanzbar kuwepo

Inawezekana kweli daraja la Dar na Zanzbar kuwepo

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Posts
18,549
Reaction score
21,670
Hii ni ndani ya dakika kumi tu ndege tatu zinatoka znz
Screenshot_20250720_093316_Flightradar24.jpg
Screenshot_20250720_093309_Flightradar24.jpg
Screenshot_20250720_093301_Flightradar24.jpg
 
Matumizi ya bangi na pombe sio mazuri
Daraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar ni kitu kinawezekana mkuu siyo swala la bangi.
Sehemu urefu wake hauzidi hata Kilomita 70 unasema ni bangi.

Sema tu sisi hatuna hela za kujenga hilo daraja, maana ni bilioni za dola zinahitajika kulikamilisha.
China lipo kama hili ila lina kilomita 55 hivi, Marekani pia lipo la kilomita 30 hivi.

Iwe kesho au miaka 100 ijayo hili daraja litajengwa.
 
labda kama muungano uvunjwe na zanzibar iwe ni mkoa wa Tanganyika
 
Ungesema kutengeneza tunnel ya chini ya bahari inayopita tren kama walivyofanya inayotoka London kwenda Paris / Brussels / Amsterdam
 
Hapo tunnel ndio inafaa ila Sasa wapemba na waunguja watajaa sana bara huku wakilia muungano mbaya
 
Acha ujuaji mkuu. Tanzania hatuna hela za kujenga hilo daraja tu, siyo kwamba haiwezekani.

Uwe hata unaingia mtandaoni kujisomea mambo madogo madogo kama haya.View attachment 3411839
unanifundisha mimi au wewe ndio nikufundishe kujua jiolojia inavyo kueleza
 
Hapo tunnel ndio inafaa ila Sasa wapemba na waunguja watajaa sana bara huku wakilia muungano mbaya
Likijengwa itapendeza zaidi. Maana sisi wauza madafu tutakuwa tunaenda na baiskeli Unguja kununua mdafu tunakuja kuuza Daslamu
 
unanifundisha mimi au wewe ndio nikufundishe kujua jiolojia inavyo kueleza
Sasa jambo dogo tu la daraja la juu baharini ambalo tayari limeshfanyika unasema haiwezekani, hayo mambo ya Jiolojia utayajulia wapi? Labda kujikojolea siyo Jiolojia.
 
Likijengwa itapendeza zaidi. Maana sisi wauza madafu tutakuwa tunaenda na baiskeli Unguja kununua mdafu tunakuja kuuza Daslamu
Madafu mbona pwani yamejaa
Labda kufata devices za umeme ndio nasikia ni cheap ila hiyo project inahitaji kichwa kama Magufuli waliobaki sidhani
 
Back
Top Bottom