mi ni kijana na nilikua na mpenzi wangu na tulikua tunapendana sana. ila dosari ilianza pale alipoenda kusoma mwanza, kila mtu alianza kucheat kwa upande wake, na kila mtu akawa ana wivu kwa mwenzie kitu kilichopelekea mapenz kuvunjika. but huko mwanza alipata rafiki ambaye alikua wana share kila k2 kiasi kwamba ugomvi, furaha, matatizo kati yangu na yeye alikua anamshirikisha mwezake. sasa saa hz nimetokea kumpenda huyo rafiki yake ambaye ni shemeji kwangu na rafiki yake kakubali, je wadau hii iko poa au nivunje mahusiano