Inawezekana kumpenda shemeji kimapenzi?

laptop22

New Member
Oct 19, 2012
1
0
mi ni kijana na nilikua na mpenzi wangu na tulikua tunapendana sana. ila dosari ilianza pale alipoenda kusoma mwanza, kila mtu alianza kucheat kwa upande wake, na kila mtu akawa ana wivu kwa mwenzie kitu kilichopelekea mapenz kuvunjika. but huko mwanza alipata rafiki ambaye alikua wana share kila k2 kiasi kwamba ugomvi, furaha, matatizo kati yangu na yeye alikua anamshirikisha mwezake. sasa saa hz nimetokea kumpenda huyo rafiki yake ambaye ni shemeji kwangu na rafiki yake kakubali, je wadau hii iko poa au nivunje mahusiano
 
:majani7::glasses-nerdy::nimekataa:confused: acha mawazo ya ajabu, we kama wampenda mtu kimpango wako. Siono sababu ya kuuliza swali hilo
 
mi ni kijana na nilikua na mpenzi wangu na tulikua tunapendana sana. ila dosari ilianza pale alipoenda kusoma mwanza, kila mtu alianza kucheat kwa upande wake, na kila mtu akawa ana wivu kwa mwenzie kitu kilichopelekea mapenz kuvunjika. but huko mwanza alipata rafiki ambaye alikua wana share kila k2 kiasi kwamba ugomvi, furaha, matatizo kati yangu na yeye alikua anamshirikisha mwezake. sasa saa hz nimetokea kumpenda huyo rafiki yake ambaye ni shemeji kwangu na rafiki yake kakubali, je wadau hii iko poa au nivunje mahusiano

Join Date : 19th October 2012

Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received 0

Likes Given 0

Karibu JF!
 
ndugu post yako nzuri ila ungeipeleka MMU,ingekuwa safi zaidi ungepewa ushauri mzuri
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda
 
Sio poa hapo hata kidogo wanakuchezea hao ex wako asingekubali kirahisi namna hiyo! Achana nao tafuta mwanamke mwingine wa kuoa.
 
ndugu post yako nzuri ila ungeipeleka MMU,ingekuwa safi zaidi ungepewa ushauri mzuri
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda

yana huuuu?
 
mi ni kijana na nilikua na mpenzi wangu na tulikua tunapendana sana. ila dosari ilianza pale alipoenda kusoma mwanza, kila mtu alianza kucheat kwa upande wake, na kila mtu akawa ana wivu kwa mwenzie kitu kilichopelekea mapenz kuvunjika. but huko mwanza alipata rafiki ambaye alikua wana share kila k2 kiasi kwamba ugomvi, furaha, matatizo kati yangu na yeye alikua anamshirikisha mwezake. sasa saa hz nimetokea kumpenda huyo rafiki yake ambaye ni shemeji kwangu na rafiki yake kakubali, je wadau hii iko poa au nivunje mahusiano

Ulitakiwa uwe umeshakula mzigo ndo uje kuomba ushauri
 
ndugu post yako nzuri ila ungeipeleka MMU,ingekuwa safi zaidi ungepewa ushauri mzuri
Obama wa bongo. Aga khan Mzizima sec(pcm), B com (UDSM) Msc .risk mgt(UK ) on study PHD(Commonwealth unv)CA(Australia)best student std 7,form six(NECTA) nilifaulu mzumbe ila si kwenda

Sasa mbona unatangaza cv humu? Unasaka ajira ama?
 
watu kama nyie ndo mnaanzaga kutembea na rafiki za wapenzi wenu, kisha mnahamia kwa housegirl halafu shemeji zako toka nitoke na mkeo, then mnamalizia jwa mabinti zenu...... Hiyo zipu kuifunga na kujithamini unaona kazi gani?

Anyway natamani huyo mpenzio atongozwe na kutembea na rafiki yako wa karibu ufurahie utamu wake
 
Unatamani mla shemeji,je na wewe ukiliwa digital utafeel vp!
 
mi ni kijana na nilikua na mpenzi wangu na tulikua tunapendana sana. ila dosari ilianza pale alipoenda kusoma mwanza, kila mtu alianza kucheat kwa upande wake, na kila mtu akawa ana wivu kwa mwenzie kitu kilichopelekea mapenz kuvunjika. but huko mwanza alipata rafiki ambaye alikua wana share kila k2 kiasi kwamba ugomvi, furaha, matatizo kati yangu na yeye alikua anamshirikisha mwezake. sasa saa hz nimetokea kumpenda huyo rafiki yake ambaye ni shemeji kwangu na rafiki yake kakubali, je wadau hii iko poa au nivunje mahusiano

Si mpenzi wako mlishaachana?
Opoa ndinga hiyo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom