suzy daniel
Member
- Mar 12, 2014
- 57
- 10
Asante kwa kunitoa tongotongo,nilikujwa sijui kama kuna dini ya Kisabatohabar ndg jamaa na marafk,napenda tufahamiane wale wote vjana wa kike na kiume ambao niwaumin wa din ya ksabato bwana awabark
Habari ndugu jamaa na marafiki,
Napenda tufahamiane wale wote vijana wa kike na kiume ambao niwaumini wa dini ya kisabato.
Bwana awabariki
kiwatengu asipaone hapa alivo mmbea atamwambia Nyani NgabuVale wangu mambo vipi mamy? Tangu Jana nakusubiri falagha hauonekani mi ntalia.
kiwatengu asipaone hapa alivo mmbea atamwambia Nyani Ngabu
kiwatengu asipaone hapa alivo mmbea atamwambia Nyani Ngabu
Taarifa nimeishazifikisha salama subiri kipigo usiku
Hahahahahaa muzee ya udaku kiwatengu
We usimuogope Nyani Ngabu Yule ni bwana mudogo ya kinyatuzu tunashare tu Shemeji!
Taarifa nimeishazifikisha salama subiri kipigo usiku
* Tuko pamoja suzy daniel ....Habari ndugu jamaa na marafiki,
Napenda tufahamiane wale wote vijana wa kike na kiume ambao niwaumini wa dini ya kisabato.
Bwana awabariki