Inawahusu vijana wakisabato tu

Inawahusu vijana wakisabato tu

Namie nikitaka kuwa msabato nafanyaje jamani
 
haya vijana si wengine ni wazee wa kisabato
 
Namie nikitaka kuwa msabato nafanyaje jamani

Nenda kanisani kwao upokee wito wa kubatizwa maji mengi.baada ya apo ushakua mmoja wao(msabato)
Na usisaau kuenda church jmosi.inahusu hiyo.mengine utafundishwa uko uko mbele kwa mbele
 
tumia namba yangu 0759919873 endapo utahtaj maelezo mengne ila zaidi nenda kanisa lolote lilipo karb nawe la ki adventist uwaambie nahtaj kujiunga na kanisa la wakristo wa kweli hpa dunia(yaan kanisa la wasabato)
 
Wazee apana wenyenguv tu yaan vjana

aa kumbe..basi sawa... neno la Mungu linasema "nawaandikia ninyi vijana kwa kuwa mna nguvu na mmemshinda yule muovu"... dhihirisheni nguvu zenu na ushindi wenu katika kumtukuza Mungu na kuwafundisha wengine habari njema ya wokovu.... MPINGENI SHETANI NAYE ATAWAKIMBIA.
 
Back
Top Bottom