Inauma lakini ndio maisha unakubaliana nayo

Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four.

Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi yeye unakuta ana 98 . Tumeenda tumemealiza form four akafaulu mimi nikaingia mtaani kupambana aisee. Jamaa kaenda chuo kaosma masuala ya engeneering kamaliza sasa karudi mtaani. Hana mishe wala nini na mimi kipindi hicho mishe nilizokua nazifanya zilikua zinanilipa gheto kuko fresh mfukoni kuko vizuri.

Sasa jamaa akawa anahangaika kutafuta vibarua ikabidi tuungane naye kwenye mishe zangu basi nikawa kama boss wake. Kiukweli nikawa nafurahi sana kwaba pamoja na kunizidi akili na kisomo mimi ndio nina muweka mtaani.

Ikafikia kipindi hata tukikaa mtaani naanzisha topic za wasomi wanavyo kua hawana maana wanashindwa maisha. Basi bwana siku zimeenda akaja akaniomba ruhusa aende kwenye usahili ni mkopesha pale pesa.

Jamaa kaenda akawa ameipata ile kazi sasa. Kwenye shirika kubwa tu serikalini. Dah aisee kiukweli wakuu wivu ukaniingia baada ya kuona mambo ya huyu jamaa yanavobadilika kwa muda mchache bila kuhangaika kama mimi nimepitia kifukikia hapa. Huwezi amini ndani ya miaka miwili ameweza kufanya vitu amabavyo ninaviwaza miaka sita nyuma, Kabadilisha kwao.

Nilichojifunza Mungu ndio mpaji kama tukiweza kupeleka watoto shule tuwaoeleke wawe wanategemea hata elimu ya darasani maana mimi nispopigwa jua ugali haupo..
Wakuu mnaanzaje kuumia mtu wako wa karibu anapofanikiwa?
Si ndo uchawi mkuu
 
Nazani Jamaa hana Roho mbaya na maendeleo ya Jamaa.

Ila Ana wivu na maendeleo Ya haraka ya Jamaa yake kuliko yeye, Na ana acknowledge kabisa elimu ya jamaa imemsaidia na uenda yeye kukosa elimu kunamkwamisha in one way or another na katoa way forward tusomeshe tu watoto wetu.

Huu ndo ukweli wa maisha.
 
Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four.

Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi yeye unakuta ana 98 . Tumeenda tumemealiza form four akafaulu mimi nikaingia mtaani kupambana aisee. Jamaa kaenda chuo kaosma masuala ya engeneering kamaliza sasa karudi mtaani. Hana mishe wala nini na mimi kipindi hicho mishe nilizokua nazifanya zilikua zinanilipa gheto kuko fresh mfukoni kuko vizuri.

Sasa jamaa akawa anahangaika kutafuta vibarua ikabidi tuungane naye kwenye mishe zangu basi nikawa kama boss wake. Kiukweli nikawa nafurahi sana kwaba pamoja na kunizidi akili na kisomo mimi ndio nina muweka mtaani.

Ikafikia kipindi hata tukikaa mtaani naanzisha topic za wasomi wanavyo kua hawana maana wanashindwa maisha. Basi bwana siku zimeenda akaja akaniomba ruhusa aende kwenye usahili ni mkopesha pale pesa.

Jamaa kaenda akawa ameipata ile kazi sasa. Kwenye shirika kubwa tu serikalini. Dah aisee kiukweli wakuu wivu ukaniingia baada ya kuona mambo ya huyu jamaa yanavobadilika kwa muda mchache bila kuhangaika kama mimi nimepitia kifukikia hapa. Huwezi amini ndani ya miaka miwili ameweza kufanya vitu amabavyo ninaviwaza miaka sita nyuma, Kabadilisha kwao.

Nilichojifunza Mungu ndio mpaji kama tukiweza kupeleka watoto shule tuwaoeleke wawe wanategemea hata elimu ya darasani maana mimi nispopigwa jua ugali haupo..
Na ulikuwa unafurahia jinsi msomi alivyo chini yako, haukuijua kesho yake, na kesho yake imefika unaumia kiasi kwamba umeona utoe ya moyoni! Maumivu yameuzidi moyo.....haya nliyaona kwa rafiki wa mama mkwe wangu, mama makwe alikuwa ha hali ya chini kabisa huku rafiki yake anafanya catering anapata vitenda anamuita mama mkwe anapika anamgeiya afu salasini (30000) au 20 maisha yanasonga, Mungu si athumani wala hamisi bwana watoto wamekuwa baraka kwa huyu mama siku moja wako na event si akamuita rafiki yake aje kupika! Unajua yule mama alipika huku akiwaza yaani huyu mama niliyekuwa namuita kama kibarua leo ananilipa mimi? Aakkiiii aliumia hadi akapiga kelele kwenye sherehe katikati😀
 
Mtu yeyote uliesoma nae halafu ukamzidi elimu.
Pengine baadae ukamzidi uwezo wa kifedha.
Kuwa nae makini.

Sisemi umuhukum kwamba ni mtu mbaya, ila kaa nae kwa umakini.
Huwezi jua anawaza nini.
 
Ongeraa zakee yy mkuu ameepukana na ilee kauli ya waendee veta ...ss ww wivu wa nn badala mwana umuombe akukopee hata uko Kwenye shirikaa nawe uendelee kukuzaa mtajiii🤔
Akukopewa hata lipa huyu kama tayari roho ya wivu ishamjaa
 
Kua na wivu wa maendeleo sio jambo baya kikubwa we pambana tu Mungu ndo mtoaji wa riziki.
 
Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four.

Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi yeye unakuta ana 98 . Tumeenda tumemealiza form four akafaulu mimi nikaingia mtaani kupambana aisee. Jamaa kaenda chuo kaosma masuala ya engeneering kamaliza sasa karudi mtaani. Hana mishe wala nini na mimi kipindi hicho mishe nilizokua nazifanya zilikua zinanilipa gheto kuko fresh mfukoni kuko vizuri.

Sasa jamaa akawa anahangaika kutafuta vibarua ikabidi tuungane naye kwenye mishe zangu basi nikawa kama boss wake. Kiukweli nikawa nafurahi sana kwaba pamoja na kunizidi akili na kisomo mimi ndio nina muweka mtaani.

Ikafikia kipindi hata tukikaa mtaani naanzisha topic za wasomi wanavyo kua hawana maana wanashindwa maisha. Basi bwana siku zimeenda akaja akaniomba ruhusa aende kwenye usahili ni mkopesha pale pesa.

Jamaa kaenda akawa ameipata ile kazi sasa. Kwenye shirika kubwa tu serikalini. Dah aisee kiukweli wakuu wivu ukaniingia baada ya kuona mambo ya huyu jamaa yanavobadilika kwa muda mchache bila kuhangaika kama mimi nimepitia kifukikia hapa. Huwezi amini ndani ya miaka miwili ameweza kufanya vitu amabavyo ninaviwaza miaka sita nyuma, Kabadilisha kwao.

Nilichojifunza Mungu ndio mpaji kama tukiweza kupeleka watoto shule tuwaoeleke wawe wanategemea hata elimu ya darasani maana mimi nispopigwa jua ugali haupo..
Mwenzako kasoma, hiyo ndiyo tofauti.

Hayo mambo ya "Mungu ndio mpaji" ni kauli za kujifariji tu.

Unatakiwa ufurahi mtu wako kapata mambo mazuri, sio kumuonea wivu.
 
Back
Top Bottom