inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

Dpp ana historia ya kesi za mchongo. Nashangaa Jaji Masaju anavyo sema watu wasi tungiwe kesi za mchongo.
Huyu Dpp alimuweka Mbowe ndani miezi nane kwa kesi ya kubumba, sasa yuko na Lissu kwa kesi za aina hiyo hiyo. Bado ni kodi zetu zina tumika kuliaibisha Taifa mbele ya Mataifa yanayo penda haki. Viongozi wakuu wame kuwa vipofu hawaoni huu upuuzi unao endelea. Sasa umuachie Mungu akatende.
 
....kwa Kuwa Wewe na MAMA YAKO NDIO Mnaommiliki MUNGU....SISi Tunaomsupport TAL, HAki na Usawa HAna Habar na sisi
 
Wana wa Mungu wala msiwe na hofu kabisa ktk hili kwani imeandikwa "msiwe na hofu mtasema nini ktk "masinagogi" yao watakapowashtaki kwani saa ile nitawapa maneno ya kusema"
Tuzidi kumuombea Lissu kwa Mola wetu na hakuna uovu unaoshinda dhidi ya haki.
 
Sawa.tunawasubili tu,hii ni dunis
 
Who is this monster NYANI NGABU who is always anti progressive ideas? What has he got against Tundu Lissu? I am curious!!!
nliliblock maana hakuna la kujifunza kwake...takataka kubwa sana
 
Mkuu una softy copy yake yote
 
Hata virusi kwenye kompyuta vilijua vimemaliza kompyuta ila mtaani subiri kuona mahakama sasa itaogopa sasa kila mtu anachukua sheria yake na sio hutani na hakuna wa kumpeleka ,mahakamani.

Hutani❌❌
 
hapana ni kipande hicho tu. Nikipata nitaileta hapa. Ngoja tuulize humu
Sawa mkuu maana ninazo zile mbili ya Mandela na fidel Castro nikiri tu tuna kizazi cha hovyo sana sasa hivi.
 
Ongea kila kitu lakini mwisho wa siku kitanzi ni LAZIMA!
 
Alishindwa kumuokoa akapigwa marisasi yaliyompa kilema cha maisha!

Kwa nini hakuzuia asipigwe risasi?

Hivi kweli huwa mnatumia akili kufikiria?
Ndio Tunatumia akili, alimuokoa ndio maana hakufa!
Alibaki na uhai
 
Puppet mama yako boya we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…