inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

Hapana msikate tamaa msilie pale uwezo wa mwanadamu unapofikia mwisho mungu mwenyewe anasimama anatenda don't worry watumishi mungu wamefunga wanaliombea hili swala.
 
Wewe Hauna akili Hata kidogo kummko
 
zingatia maelezo bila kuweweseka gentleman,

wahalifu ni muhimu wakashikishwa adabu kulingana na mamkosa yao kwa mujibu wa sheria.
hakuna haja ya kubabaika na story na porojo za pata potea
 
Rubbish!!
Kwa hiyo wewe hata kiongozi akimfi....mke wako ni POA kwa sababu ni mamlaka imetoka kwa mungu
Hongera sana Bosi,,
hakuna haja ya mihemko na kuporomosha matusi gentleman, changia hoja kwa staha
 
Lete neno moja tu aliloropoka. Unalipwa kwa ajili ya kuuwa unajiona ni immortal in the Earth.
acha akili imkae sawa kwanza huyo kibaraka,
aandike mabaruaaa weeeee,
ndipo baadae akili ikimkaa sawa ataelewa jinsi uropokaji ulivyo jambo la hovyo kwenye jamii ya kistaarabu
 
zingatia maelezo bila kuweweseka gentleman,

wahalifu ni muhimu wakashikishwa adabu kulingana na mamkosa yao kwa mujibu wa sheria.
hakuna haja ya kubabaika na story na porojo za pata potea
Take it easy, life is too short.

You could be crossing the road tomorrow au uko kwenye V8 yako tukufu and mara paa wapaishwa na lori.

Baadae Matanga na mtondogoo maziko.

Relax.
 
Take it easy, life is too short.

You could be crossing the road tomorrow au uko kwenye V8 yako tukufu and mara paa umepaishwa na lori.

Baadae Matanga na mtondogoo maziko.

Relax.
hakuna haja ya ramli gentleman,
zingatia maelezo yangu muhimu ya msingi,
hizo nonsense nyingine ni useless kwangu
 
hakuna haja ya ramli gentleman,
zingatia maelezo yangu muhimu ya msingi,
hizo nonsense nyingine ni useless kwangu
I insist, relax.

Take a glass of wine and toss chears to Tundu Lissu.

Wajua Morgan Tsvangirai aliamua kujitoa kumvaa Robert Mugabe na kama si dhuluma za utawala wa Zimbabwe Tsvangirai alikuwa awe raisi wa Zimbabwe kimasihara mwaka 2013.
 
Mbwa kala mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…