Inasikitisha

thanks much kwa kunielewa,sometimes mtu unataka ujue tu vizuri kuhusu ukweli wa mambo
 
situation kama hiyo ni ngumu,kibongo wanaona aibu ina mamtoni hawana hata aibu
 

Gays wapo wengi tu hapa Tanzania especially maeneo ya Tanga,Dar na Zanzibar...ila sijawah kufaham kama wamekuwa wengi kiasi cha kuanzisha links kwenye ma-website ya ngono au friendship duuh! Nadhani na wao wanajitahidi kujiweka huru na kile kinachowapa raha kwa kuwatafuta wenza wao mtandaoni....
 
tumwombe tu mungu aepushe hiyo balaa na ndugu zetu na familia
 
sasa hapo ndo pabaya penyewe
 
Nobody has ever asked to be a gay or lesbian. It may happen to anyone much like they did not anticipate the defect to ever occur in their life. We can make the world be a better place for any God's creature by supporting these minority groups in terms of approval of their rights etc instead of rejecting them.
 
hata wewe u dont have to explain urselfu sana King'ast. Kwa wewe mdada kujaribu kupata information kutoka kwa guy its ok but kwa mwanamume kuwa friend na guy ni matusi, lazima utakuwa associated nao. Mimi mwanaume ni rahisi kuwa na friends ambao ni lesbians but not gays!
 
Hivi eeh?
Na mwanamke hawezi kuwa rafiki na lesbian?
Ila ruksa kuwa rafiki na gay?

 
Mimi naomba mnitoe ujinga, hivi kuwa gay ni uamuzi /kujitakia, maradhi au maumbile?
Ikiwa itatokea mtoto wako ana dalili za "u-guy", utamfanya nini? Utampiga ili awache? Asipowacha utamfukuza nyumbani? Utampeleka wa waganga/madaktari akatibiwe?
Nimewahi kuona guys tangu miaka mingi iliyopita, wengine niliwajua watu wazima, ; lakini kwa kuficha "sexual orientation yao" wameoa na wana watoto.

Tatizo la guys wa zamani na wa sasa, ni kuwa wale wa zamani wengi walikuwa wanajificha, hawakutoka makabatini kama sasa.
 

Sambamba na ukweli huo,

Wazungu wameshastukia KASI ya Afrika kupata uhuru wa kiuchumi. Sasa wameona njia pekee ya kuwazubaisha ili wasiwapite siku moja (si unajua tajiri hupenda abaki tajiri), ni kuwafikirisha juu ya mambo yawezayo kuchukua muda wao wa kuleta mabadiliko (maendeleo) kiuchumi. Ikumbukwe kuwa, Waafirika wako juu sana juu ya moral issues, sasa wakaona jambo pekee linaloweza kuwafanya wa HAULT (wasimame) ni kuwavuruga, ndo maana wameleta suala la USHOGA. Mwingereza kajaribu kashushuliwa-kaamua kumshirikisha swahiba wake ktk kutimiza mpango wao huo. Sasa wana beep kisha watapiga.

WORKUP AFRICA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…