Basi tunakoelekea ni laanaKwani Cameron amekosea?ajakosea,kila mwezi kuna siku ya kukutana Magay wa Tanzania pale breakpoint ya mjini karibu na billicanas.wanakuwaga wengi na wana facebook fan page.Ndio maana Uk na Usa wanataka watambuliwe kwani kuna wapwa na wadogo wa kina Cameroon wana mabwana na wachumba zao hapa east africa.
Ulianza anza vp ku-google neno gay mkuu? mbona mi hilo neno siwezi hata kulikumbuka achilia mbali kuliandika kwenye google search?
Ulikua unatafuta biashara gani?
mkuu ni kawaida kutokea,mi nilikuwa nafuatilia forums za kibongo onlineUlianza anza vp ku-google neno gay mkuu? mbona mi hilo neno siwezi hata kulikumbuka achilia mbali kuliandika kwenye google search?
Ulikua unatafuta biashara gani?
mkuu ni kawaida kutokea,mi nilikuwa nafuatilia forums za kibongo online
U don't have to explain urself. Curiosity ni sehemu ya intelligence! Nilishawahi ku-request friendship ya gay mmoja, na nikamuambia wazi I wanted to understand a few things abt gays. I understood quite a bit, hadi alipotaka nijiunge na support group yao dsm,nikamuambia siungi mkono na akanikasirikia na kuni-unfriend
Ulianza anza vp ku-google neno gay mkuu? mbona mi hilo neno siwezi hata kulikumbuka achilia mbali kuliandika kwenye google search?
Ulikua unatafuta biashara gani?