Inasikitisha sana Kwa Dax

Inasikitisha sana Kwa Dax

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,144
Reaction score
2,513
Huyu jombaa toka Canada mwenye asili ya Nigeria ni moja kati ya Hardcore rapper mnoma kinyama,,Ngoma zake Kali kichizi,,,lakini hizi views Kwa Zuchu anazipata ndani ya wiki tu,,,Sasa jamaa mwaka mzima kweli jamani daaah so sad...

@NgarenaroBoy
IMG-20220114-WA0013.jpg
 
Huyu mwamba hana label yoyote inayosimamia kazi zake...
Lakini yeye huweka nyimbo zake facebook..aise kule hiyo nyoma ina view zaidi ya millioni 35.
Target yake iko facebook video na huko amewin soko.
 
Unaweza kuta views ya ngoma yake moja ile ya dear god ni jumla ya views za album nzima ya zuchu ukijumlisha na views za insta
Hahah,,,#Ustawi mkuu
 
Huyu mwamba hana label yoyote inayosimamia kazi zake...
Lakini yeye huweka nyimbo zake facebook..aise kule hiyo nyoma ina view zaidi ya millioni 35.
Target yake iko facebook video na huko amewin soko.
Yeah...ngoma zake nazionaga sana FB
 
Youtube sio platform pekee kwa ajili ya kuuza muziki, wasanii wa Marekani hata hawana muda nayo mfano tu hizi ni Monthly listens za Dax na Zuchu kwenye Spotify, ni Mbingu na Ardhi. Tatizo soko letu linafikiri views za youtube ndio kila kitu ila nguvu nyingi ilitakiwa iwekwe kwenye platfroms kama Apple Music, Tidal, Spotify etc. ndio kwenye pesa kuliko YouTube
IMG_20220115_130648.jpg
IMG_20220115_130705.jpg
 
Mnaweza kuwa mnaongea na mtu mjinga anachojua ni YouTube pekee Tena sababu alifundishwa baada ya kununuliwa simu.

Haiwezekani mtu anaejua technology na platforms kadhaa ikiwemo za muziki alete uzi basing on YouTube pekee wakati hajapita kwenye platform nyingine kuangalia ajiridhishe kwamba anayemuongelea Hana views huko mwingine.
 
Huyu jamaa anaachia ngoma kila wiki na ukichek wasanii wa kubwa wa nje youtube kwao sio kitu cha maana it seems hawaitegemei pia kwao hawaupimi ubora wao kwa idadi ya views za youtube.
 
Watani wajadi mnajuana, sisi wengine tunasikiliza muziki kutegemea na mood tu
 
Huyu mwamba hana label yoyote inayosimamia kazi zake...
Lakini yeye huweka nyimbo zake facebook..aise kule hiyo nyoma ina view zaidi ya millioni 35.
Target yake iko facebook video na huko amewin soko.
Kweli hyu Jamaa anajua kuwaanda shabiki vzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom