Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Bila kusahau maandalizi hafifu. Wengi mnabaka tu sikuhizimimi nadhani hali hii kwa wanaume kutowafikisha wadada mlimani inatokana na aina ya vyakula tunavyokula,tunadharau vyakula vya asili kama karanga,mihogo nk na kuendekeza chips kwa mayai ya kisasa,upande wa wadada wengi hawafiki kilimanjaro kwa sababu ya kutumia sana vifaa 'atifisho'