mshana jr, wanaume wamebaki wachache sana. Wapo walioamua kuwa mashoga, wapo mahanisi, wapo wenye vipisi vyao vya sigara, wapo wenye low sperm count, wapo one minute man, kwa kweli haya matatizo yameongezeka sana tangu na wanawake walipoamua kuvaa suruali.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Umoja na ujamaa wa wanafamilia nao hakuna vile vikao watu walivyokuwa wanakaa kuelezana matatizo yao na kusaidiana siku hiz hakuna kila mtu yuko busy..Sehemu pekee mtu anaona atapata msaada wa matatizo yake ni sehemu kama hii hapa...Sasa tusiwakatishe tamaa wale wanaokuja na kueleza matatizo yao hapa maana mficha maradhi.......Tukiangalia tatizo hili la nguvu za kiume haitakuwa haki tukiwaacha wanawake nyuma kwani nao wamechangia kwa kiasi fulani wanaume kushindwa kuwafika kileleni..Zamani mwanamke ulikuwa ukipiga dk 15 yeye keshamaliza haja yake tena si mara 1...Siku hiz utasugua hapo masaa manne yeye hata macho hayajaanza kulegea ndo kwanza anaendelea kuchat kwenye group la whasup na kutafuna big G..kama hamna hata kitu kilichoingia..jaman tuwe makini ukitaka kupata heshima hapo hakika hvi vifo vya guest vitaongezeka mno...
Ngoja nikaoneWe subiria jera tu! Nimesoma uzi wako kwenye jukwaa letu lileee, umekula embe bichi na chumvi ya pilipili😎
Minimum years, 30years🙄
Hata mimi hapo ndo huwa najiuliza kuwa inahitaji muda kiasi gani ili mwanamke afike?,maana siku hizi nahisi hata hilo neno la mwanamke kufika kileleni linaanza kuwa msamiati.Hawa madada wenyewe kileleni wanafika basi hata ujitume vipi we fikiria mtu mikonyagi mi ndovu cjui reds mpaka aje afike peak sio leo
Tunafika bana!Hawa madada wenyewe kileleni wanafika basi hata ujitume vipi we fikiria mtu mikonyagi mi ndovu cjui reds mpaka aje afike peak sio leo
true this.My dear Dildo,
Lets get married.
Teh teh..We rubii juzi tu hapa umetoka kusuguliwa mpaka ukakimbilia jf kuomba msaada..Leo unasemaje tena?Wamebaki wanaume suruali tuu
Teh teh..We rubii juzi tu hapa umetoka kusuguliwa mpaka ukakimbilia jf kuomba msaada..Leo unasemaje tena?