sizzya007
JF-Expert Member
- Mar 15, 2016
- 773
- 2,430
Nilikua nawatia moyo tu lakini hakuna kitu
Naona umuhimu wa kuandaa orgy party ya member wa jf ili tuje tufunzane adabu😡😡😡
Nilikua nawatia moyo tu lakini hakuna kitu
Naona umuhimu wa kuandaa orgy party ya member wa jf ili tuje tufunzane adabu😡😡😡
Ufunzwe adabu?
Mabwabwa!mshana jr, wanaume wamebaki wachache sana. Wapo walioamua kuwa mashoga, wapo mahanisi, wapo wenye vipisi vyao vya sigara, wapo wenye low sperm count, wapo one minute man, kwa kweli haya matatizo yameongezeka sana tangu na wanawake walipoamua kuvaa suruali.
Bora ujisifu maana watu hawakusifii mpaka ufe....!?"tumebaki wachache"... We umesifiwa au ndo unajisifu mwenyewe
Nakusikiliza...!We unaonaje binanu
HahahahBora ujisifu maana watu hawakusifii mpaka ufe....!?
yawezekana kuwa kweli lakini kuna fakta nyingi zinazosababisha kuwa wanaume suruali,1,hofu ya magonjwa ambayo husababisha mtu afanye kwa tahadhari kubwa,pia kutumia sandarusi kunapunguza msisimko na mtu kuonekana kama si derevaWamebaki wanaume suruali tuu
yawezekana kuwa kweli lakini kuna fakta nyingi zinazosababisha kuwa wanaume suruali,1,hofu ya magonjwa ambayo husababisha mtu afanye kwa tahadhari kubwa,pia kutumia sandarusi kunapunguza msisimko na mtu kuonekana kama si dereva
Nimekumiss pia binamu...we si umenichuniaNakusikiliza...!
Ila nimekumiss
si vizuri lakini mnavyofanya...Hahahah
Tatzo mkisifiwa mnapanda kichws balaa...na siku izi tumewajua tuna fake orgasm hadi basi.. mnajiona mnaweza mambo kumbe wizi mtupu