Inasikitisha sana editing ya pampass

Inasikitisha sana editing ya pampass

Lowassa anajidhalilisha mwenyewe, amekosa nini huyu mzee ni tamaaa tu ndio inamsumbua. Kwanini asikae nyumbani apumzike?? Anajijua fika yeye ni mgonjwa na hilo halina ubishi, kwanini asitulie nyumbani??? Wacha watu wamdhalilishe sababu ameyataka mwenyewe. Ukiingia vitani kubali kila aina ya kipigo kutoka kwa adui zako. Angekuwa ni mzazi wangu ningemshauri aachane na siasa na akae nyumbani atulie afurahie uzee wake taratibu. #HapaKaziTu Chagua Magufuli. CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee MAGUFULI Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Lowassaaaaaaaa Kajinyeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Toka hapa wala huwezi kuwa na mzazi kama lowassa. Na kwenye vizazi vyako vyote hatokaa atokee mtu kama yeye
 
Huyu jamaa hana sera, anaongea vitu visivyo wezekana, body language ndo hata tusiende huko. In other words anastahili kukaa tu home ale pesa zake, kuongoza hawezi...

Anastahili kukaa ikulu ale nyama poli kama kinena ili apate afya zaidi.
 
Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.

Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.

Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?

Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.
Baada ya uchaguzi watu wengi sana wataumia kwa kutumia vibaya uhuru wao hasa kama wanaowalinda watatolewa madarakani. Jela ziandaliwe kwa ajili ya washenzi kama hawa.
 
Kumbe kweli waiti hair mgonjwa! maana uzi umeandikwa kwa hisia kali. Nakumbuka wakati mh rais ameenda kwenye matibabu ya prostate kuna watu walikejeli na kutukana sana humu kwa mafumbo. Sasa mjomba nae sijui anaharisha mnajifanya waungwana kwani JK nae sio baba?

Sina haja ya kutambua ujinga wako wakati avatar yako ni jibu kamili.
 
Hili jambo la kudhalilishana limeanza kitambo sana hapa, labda wewe tu shabiki wa lowassa imekuuma kuona na unaemshabikia kadhalilishwa, mngekuwa mnakemea kila upande, vyama vya siasa vyote vimekodi watu kwenye media kazi zao ni hizo tu, unategemea nini?
Huyo lowassa ana vijana wake wamejaa kwenye media kazi kutukana kudhalilisha watu, wacha waendelee tu, ndio style ya kampeni walizozichagua wenyewe
 
Namaanisha kwamba siasa ni mchezo mchafu...practically kwa waswahili...

Ukiingia kwenye siasa kubali kuchafuliwa
..siasa za maji taka...

Hivyo nanyie react against...kwani mliyaanza wenyewe sasa yamewageukia...take it easy...

Ninapata shaka na upeo wako
 
Nawaza kwa aina za kampeni tunazopiga maisha baada ya uchaguzi yatakuwaje

Kwa kampeni hizi napata shida kuamini tunaweza kukaa meza moja kama Watanzania

Ushindani wa siasa umekwisha kugeuzwa kuwa ugomvi

Mstari wa mwisho huo ndio uhalisi wa siasa zilipotufikisha!
 
Ila hizo siasa za matusi za ccm zitawacost sana. Mimi nimeongea na watu wazima wakereketwa waccm wanasikitika sana aina za kampeni zinazofanywa na ccm.
 
Nyie ni washenzi wa kiwango cha juu..Mkapa hakukosea. Mara ngapi mme..edit picha za kumkashifu na kumdharirisha Rais wetu, leo mnakuja kulia lia humu.
 
Namaanisha kwamba siasa ni mchezo mchafu...practically kwa waswahili...

Ukiingia kwenye siasa kubali kuchafuliwa
..siasa za maji taka...

Hivyo nanyie react against...kwani mliyaanza wenyewe sasa yamewageukia...take it easy...

Kila unachojiunga andika inabidi kabla ya kuandika uchukuwe mda kido kukifikiri na wewe uvae kuhusika ndiyo aliyetumiwa/chafuliwa.Sote ni Watanzania tusidhalilishane kisa siasa.Kumbuka lolote unalo mtendea Baba/Mama wa mwezako ujue siku moja nawe Baba/Mama yako atatendewa au nawe ukiwa Mzee atatendewa.
 
ninachoona hapa, ni mtu analipa kwa kosa la kutuibia sanaa...manake kujinyeee kwa steji ni soo sana..
 
Kipindi cha kampeni kunakuwaga na vituko vingi sana na huu ndio wakati wake.
 
Nimesikitishwa sana na tukio hili la kuedit pampass na kuweka picha ya Mh Lowassa akiwa amevaa pampass.

Mimi si shabiki wa Lowassa lakini napenda kuheshimu utu wa mtu haijalisha kwako hana thaman.

Huyu ni baba mwenye watoto wakubwa na mke pengine na wajukuu(sijui) fikiria familia yake inaumia kiasi gani juu ya hili? Au wewe ndo ungekuwa yy ungefanyaje?

Hujafa hujaumbika,Mungu si Athuman leo wajiona mzima au bora kesho yako huijui,tufikie hatua tufanye kampeni za kistaarabu na si kutoana thaman kiasi hiki.

Angekuwa ni Mkulu au Mkuu fulani Serikalini, Ungesikia jeshi la polisi linawasaka wahusika wahusika!!

Si mbaya, hata YESU KRISTO alidhihakiwa hivyohivyo!
 
Tulieni tu...takwimu zinasema robo tatu ya watz wanaugua pressure.. jumlisha na hiv jumlisha na utapia mlo.. dar nako kipindupindu.. acha magonjwa mengine
..wote tukimpigia mgonjwa mwenzetu anapita..atahakikisha anasimamia hospital zetu ziwe na dawa na watumishi waadilifu ili aendelee kupata watu wa kuwaongoza...lowassa chaguo letu sie wagonjwa
 
Acha unafiki wewe bavicha hivyo vitu vipo Dunia nzima.

Kama hautajari embu tupia hako ''kaa picha''.

Too bad mm sio bavicha na si mfurukutwa wao,sifurahii huu upuuzi unaofanywa na wachache
 
Ni udhalilishaji wa hali ya juu. Nimeiona nikaifikiria familia yake itakuwa inaumia sana. Siasa za Tanzania ni za kudhalilisha sijui tutastaarabika lini.kuna maisha baada ya uchaguzi jamani.
kumbe inauma eee, kipindi kile mlikuwa mnakejeli tezi dume tulikuwa tunawaangalia tu au mlisahau kuwa JK ni rais wa JMT pia ni baba wa familia. Kunguru wa zanzibar nyie, kenge mabaka:A S angry: leo mnajifanya wastaarabu.
 
Sihitaji tumkashifu mtu wala kumdhalilisha....

Nimeshapost picha nying WhatsApp , nimeona ni cheap politics...

Nimetubu, nasubiri october tuu nikafanye nyangu...
 
Sina haja ya kutambua ujinga wako wakati avatar yako ni jibu kamili.
Heri yangu mimi sura yangu ovyo lakini natumia busara kufikiri, wewe una akili za kushikiwa fumbua basi macho yako. hivi huko shule mlienda kuamkia waalimu tu jifunze kutumia akili yako ndugu yangu. Alipotukanwa JK kuhusu prostate mlikuwa mnashangilia humu, sasa leo mjomba kaharisha mnasema anadhalilishwa. Wewe akili zako ziko... kwa batakis
 
Back
Top Bottom