Inashangaza Mkuu wa Chuo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) kuisemea Serikali

Mie mwenyewe nimeshangaa sana, nikasema kweli hii ni tanzania, mie nilijua wanataka pesa ya uchaguzi kwani wezi wa escrow sijasikia aliyerejesha, ila hawa jamaa watawala wana mbinu kali sana, ile ni babaisha ----- tu muwape kura kama hamjui, jamaa wa NIT hawezi akaamua tu bila kupata go ahead kutoka kwa wao
 
Habari wana jamvi. Jana wakati mheshimiwa waziri akihutubia madereva katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo alisikika akisema kwamba taarifa iliyotolewa na kiongozi wa NIT kuhusu gharama ya masomo ya baada ya muda wa leseni ya udereva kumalizika haikuwepo serikalini na yalikuwa ni ya kwake huyo kiongozi. Sasa inakuwaje katika nchi injyoongozwa na sheria na taratibu inatokea mtu tu anaamua tu kufanya jambo kubwa kama hilo yeye mwenxewe? Kama ni kweli kwa kile kilichotokea jana kwa kiasi kikubwa kilichcheowa na kauli za huyo kiongozi. kwa maana hiyo anastahili kuwajibishwa

aisee wanasiasa ni watu wabaya sana. yaani wanataka kumuangushia jumba bovu mhandisi mwenzangu Dr Mganilwa kienyeji-kienyeji tu hivi hivi??
 
mbona nilimsikia ktk eatv mnadhim wa trafikpolice akitetea hiyo kozi(feki)...

serikali acheni ubabaishaji...!!
 
Wametoka kwa lubuva sasa kwa jamaa wa nit yaani jk haaminiki mbinguni na duniani halafu kilakitu aboronge yy jumba bovu kwa wengine hâta Richmond yy ndo muhisika mkubwa kamuangushia el
 
Inashangaza kuona serikali hii hii inakataa maamuzi yake yenyewe, mkuu aw NIT hawezi fanya maamuzi bila baraka za wakubwa ambao ni pamoja na huyo kabaka, what happened, serikali ilipoona hii ni ngumu kumeza, ikabidi kumtosha mkuu aw NIT ili ku-nutralize mambo. Tatizo wanakurupuka sana kufanya maamuzi pasipo kuangalia trend ya wapelekewa huo uamuzi.
 
Kova naye " Waheshimiwa madereva nendeni na hakuna tochi na msibughudhiwe. MADEREVA HOYEE" wakati jana yake alitamba ya kuwa hakuna mgomo kwa sababu vinara alikuwa amewakamata.
 
me mwenyewe driver.ila sijasoma NIC.veta nimepiga.sasa walivyosema vyeti vyetu feki nilichanganyikiwa.maana ilikua na leseni ya kitabu zaidi ya miaka 4.ndio ikaibuka issu tukabadirishe.hzo leseni na kupiga kozi kiana.sasa walivyodai vyeti vingi magumashi nishaanza kuisi veta wameiingiza mkenge.kumbe alikurupuka bila kuwasiliana na wakuu wake.wa kazi.ccm itatumaliza.
 
aisee wanasiasa ni watu wabaya sana. yaani wanataka kumuangushia jumba bovu mhandisi mwenzangu Dr Mganilwa kienyeji-kienyeji tu hivi hivi??

wanajua sana pale madereva walifanywa kama watoto anayelia anapewa pipi ananyamaza, hili swala wanalijua sana, pale kazuga tu, sasa wapeni kura halafu muone mziki wake 2016, lazima litatekelezwa, hutaki gari liweke pale, sasa lazima wanywee uchaguzi keshokutwa, mfano mashine za efd watu wafanyabiashara walicharuka kipindi kile, ikabidi wawe wapole, sasa mziki ni pale kura ishapigwa na wameshinda umeona mziki wake sasa, mpaka wenyeviti wao wanawekwa ndani, hawa jamaa wana akili sana
 
Inashangaza kuona serikali hii hii inakataa maamuzi yake yenyewe, mkuu aw NIT hawezi fanya maamuzi bila baraka za wakubwa ambao ni pamoja na huyo kabaka, what happened, serikali ilipoona hii ni ngumu kumeza, ikabidi kumtosha mkuu aw NIT ili ku-nutralize mambo. Tatizo wanakurupuka sana kufanya maamuzi pasipo kuangalia trend ya wapelekewa huo uamuzi.

kama mimi ni mkuu wa NIT sikubali najitokeza kwenye media na makaratasi waliyosign, wasifanye baba watu aonekane ndo mbaya, itabidi jamaa ajisafishe
 
Tochi Hakuna maana yake nini?madereva ruksa overspeed?Kova anauwezo wa kukataza mikoa mingine maana dar sijaona tochi kweli,tanga jee?
 
Kova naye " Waheshimiwa madereva nendeni na hakuna tochi na msibughudhiwe. MADEREVA HOYEE" wakati jana yake alitamba ya kuwa hakuna mgomo kwa sababu vinara alikuwa amewakamata.

Hivi kova ni wa nchi nzima?
 
Hivi kova ni wa nchi nzima?

kwa kweli aliniacha hoi aliposema madereva oyeee utadhani anaomba kura za udiwani, nilicheka kwa kweli, huwa nakataa wanaposema kuishi kwingi ni kuona mengi ila ukweli ni kwamba kuishi tanzania ni kuona mengi
 
Naomba kujuzwa. Hivi NIT.ni chuo.cha mtu serikali au cha mtu binafsi? Kama ni cha serikali.Gaudensia.Kabaka anatakiwa aachie ngazi bila.kujali.imebaki muda gani. Hii ni aibu kwa serikali kujichanganya mbele ya wananchi.
 
me mwenyewe driver.ila sijasoma NIC.veta nimepiga.sasa walivyosema vyeti vyetu feki nilichanganyikiwa.maana ilikua na leseni ya kitabu zaidi ya miaka 4.ndio ikaibuka issu tukabadirishe.hzo leseni na kupiga kozi kiana.sasa walivyodai vyeti vingi magumashi nishaanza kuisi veta wameiingiza mkenge.kumbe alikurupuka bila kuwasiliana na wakuu wake.wa kazi.ccm itatumaliza.

tafakari chukua hatua!!
 
Back
Top Bottom