Ncherry1
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 2,181
- 2,256
Ipitishwe hata sheria tuwe tunawapga makofi ku reinstall setting maana hamjui mnataka nn kwa wakat ganIli swali hata hua najiuliza sipati jibu
Pole shostii,.ila halina maana mbaya kiswahili..
Mmmmmhhh.....🙄🙄🙄Wewe mwanamama mbona unauliza maswali magumu sana ?
Heeeh mlioanaje sasa???Nimeolewa ninakama miez 3 hv
bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi
Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew
Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana Kama Mimi mkubwa HV
Maana tayar ninamtoto wa mwanamme mwingine ye hana
Nachanganyikiwa sababu namuona hana amani na Mimi japo anajitahidi kuficha ila mi naelewa tu kimoyomoyo
Hata katika kutafuta nyumba anataka tuishi sehem haina mchanganyiko na watu,,, nyumba ya peke atu, tukiwa tunaenda sehem akikutana na mtu anaemfaham au wanafanya wote kazi anakosa Aman kabisa......
Leo kuna sherehe kazin kwao wameambiwa waende na familia zao nikamtania namimi naenda alikosa amani mpaka nikamuonea huruma nilivyomwambia mi siendi alichangamka baraa
Moyo unaniuma huyu tutazeeshaa kweli???
Kwanza hii inanijengea kutojiamini kabisa,,, kujichukia maana kimuonekano mwenzangu Ni mzur kunishinda Mimi
Mungu nisaidie tu
Woman with brain and wisdom. I adore you, be blessed.Mchumba hataki tufunge ndoa - JamiiForums
Am really sorry dear. Kwa kupitia threads zako fasta yaani nimebaki najiskia very sad.
I believe you are a good woman. With a great heart and the perfect wife material. Unawajali ndugu wa nune wako na huyo muneo umemvumilia sana.
Ila you know what sweetie? Hakupendi. Anakupendea jitihada zako tu za kujituma. Yaani anapenda mfuko wako na moyo wako wa kumjali yeye na familia yake.
Achaga hizo habari za kukuona hufai kutoka nae ama kukasirika ukionyesha mapenzi kwako eti ubaki unajisikia vibaya.
Kuna wanaume wanapenda wewe bi dada Anakupenda anawaacha mabinti wote wabichiiii na wazuri hujapata kuona anakuja kukupenda wewe, anakuoa na anadumu na wewe. Just out of pure love.
Sasa huyo mkaka huyo ni pimbi tu. Hajui thamani yako. Hakupendi, hakujali, hakuheshimu. Inqonekana ameshakuona wewe ni desperate na kwa vile umri umeenda hutapata mwingine. Acha kujidanganya. As long as unajiheshimu, unajithamini, unajitunza na kujiweka bize kutengeneza future yako na ya mtoto ambae tayari unaye, the right guy will come.
Mfekelee mbali huyo tozi. Usijichanganye ukashika uja uzito wake. Maisha ya sasa hivi BP ikipanda kidogo tu stroke hiyo. Sasa upo mzima hakutaki. Ukiugua? Na mwanao je?
Come on lady.


I adore you too honey.Woman with brain and wisdom. I adore you, be blessed.![]()
kuna mdada/mmama mmoja insta ni mhamasishaji wa kina mama,,anaitwa Ritha Tarimo,,inaonekana ni single mom na umri umeanza kuenda,,sasa yeye anavaa vigauni vifupi na make up nyingi lakini hapendeziPunguza weight kama unaona unene unakukosesha kuwa confident, kama unakata nywele kama wa dhehebu Fulani anza kusuka vizuri ata mawigi sukia,lol last kama sio mtu wa make up, anza kupaka make up,ukifanya hivi vyote ukapendeza itakupa confidence na kuwa na furaha ya moyo,ndio maana wanawake tuna vipodozi vingi ni sababu tuko sensitive on how we look mkuu
Kazi ya makeup ni kukufanya ujiamn kuliko kawaida, ujiamini kuliko uwezo wako au kiwango chako cha kujiamini, ujione keki wakati weww ni kitumbua.Punguza weight kama unaona unene unakukosesha kuwa confident, kama unakata nywele kama wa dhehebu Fulani anza kusuka vizuri ata mawigi sukia,lol last kama sio mtu wa make up, anza kupaka make up,ukifanya hivi vyote ukapendeza itakupa confidence na kuwa na furaha ya moyo,ndio maana wanawake tuna vipodozi vingi ni sababu tuko sensitive on how we look mkuu
Siku hizi watu wanatafuta ndoa kwa hali na mali pasipo kuangalia mengine ilimradi aolewe tu, na hasa ana mtoto tayari ilikuwa ngumu sana kuolewa kapata bahati kachangamkia sasa ndo anajua hayoKwanza nikupe pole mamaa ya pita kwa kutojiamini,jua kwa kufanya hivyo unajikosesha mema ya nchi...halafu ilikuwaje mkaoana wakati hamna amani mioyoni mwenu,mlilazimishwa,njaa,ulitaka uonekane naww kwa watu kuwa pamoja na kuzalishwa naww umepata ndoa,mihemko,umri,....ama ni nini hasa??lol
Fwara veve, kisa cha kunichekesha mbele za watu ni nini? 😂😂😂😂😂Wewe nae hueleweki mra yeye ndio anajishtukia mara ww ndio hujiamini eti yeye mzuri kushinda wewe...mwanamke toka lini akaanza kujishindanisha uzuri na mumewe?!
Au wewe ni wale wanawake wenye miili mikubwa mpkaka ukivaa nguo nyekundu unaonekana kama kibanda cha M-PESA
Sent using Jamii Forums mobile app