Mtumishi wa Bwana89
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,190
- 4,263
Kuna dada mmoja ninafanya nae kazi ni mbaya ila anajiamini mpaka nafurahi, naomba ujiamini sana.
Sasa siuvae anazozipenda besti,kama ni mwili siunafanya tu mazoezi na dayati.dunia hii hakuna kibonge wala kimbaumbau,kuna warefu ,na wafupi na wakatikati.Uko kwenye kuvaa ndio changamoto sababu kwa umbo langu navaa magaun marefu mapana au sketi ndefu Pana Sasa yeye halend ivyo
dah![/QUOTE
Mtoto anaishi kwa Bibi yake