Inaniumiza sana

Inaniumiza sana

Hahahahha sasa Rebby hayo manguo ya shape wakati wa kulala ukifika si ndio yaleyale tena anakuwa wogorowogoro,mchana beyonce usiku mwanahawa...wooiii ajipende tuu na abadili lifestyle yake,.hakuna mtu mbaya ni mtu mwenyewe unavyojiweka

mnhhh mie nimeshauri vitu vya kumfanya ajiamini,ukivaa nguo inayoendana na mwili wako ukapendeza,itakuboost confidence na confidence ya mumeo kwako,hiki ndicho kinachokosekana kwenye hii ndoa,sidhani kama mumeo ana shida na muonekano wako wa ndani,otherwise asingekuoa,(muonekano wa nje+ muonekano wa ndani,zote ziwe mbaya then kwa nini kakuoa???...
 
Kwakweli Mungu akusaidie mamaangu loooh ilikuaje mpka akakuoa au uliforce ndoa na Kama alikuoa yeye kwa mapenzi yake kwanini akose amani kujiachia na we we...pia nakuona una hisi kuzarauliwa kitu ambacho kinakutafuna mdogo mdogo kikubwa cha kukushauri MPE nafasi Mr...na wewe jipe nafasi jipende zaidi kula vizuri na jipe furaha mwenyewe ...usitegemee furaha kutoka kwa mtu mwengine....wala usijihisi vibaya kuwa ye ni handsome afu wewe sura ya baba mamaangu maisha ndo hayahaya jithamini jipende jitunze jiheshimu ...jikeep busy as a wife ndoa yako ni changa sana...usijipe stress zisizo na kichwa wala miguu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante
 
Kwanza nikupe pole mamaa ya pita kwa kutojiamini,jua kwa kufanya hivyo unajikosesha mema ya nchi...halafu ilikuwaje mkaoana wakati hamna amani mioyoni mwenu,mlilazimishwa,njaa,ulitaka uonekane naww kwa watu kuwa pamoja na kuzalishwa naww umepata ndoa,mihemko,umri,....ama ni nini hasa??lol
Wewe mwanamama mbona unauliza maswali magumu sana ?
 
Kama ni hvo suluhisho ni moja tu... Kama kweli uzur unautaka kweli kwa moyo wote....

Najua umewai kupitia kujipodoa na kupaka vitu mbali mbali kwenye ngozi...
Sasa anza kutumia mafuta ambayo hayana chemical nying kama mafuta ya nazi
Pia kikubwa zaidi anza kufanya mazoezi kila siku na kula matunda kwa wingi hasa mapalachichi ni mazur kwa kutengeneza ngozi yako

Kula chakula kidogo na matunda mengi kisha fanya mazoez kwa wingi, utaona mwenye utakavo kuwa mrembo.

Ndivo wanavo fanya wana mitindo, kma Mange kimambi, mwenzio anaenda jim kila siku.

Usijali nan atakushangaa, kulikon na mazoez.
Bila hivo kuna kuachika siku izi mama pita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ushauri mzuri umempa tatizo la huyo mama pita yeye mwenyewe kwanza hajikubali na muonekano wake, chura hana mtu yuko flat, sura yabkiume, miguu kama fito, halafu ana kitambi. Kwa maelezo yake hana chochote cha kuvutia sasa huyu mtu gani huyu yeye mwenyewe kashajiona mbovu nani atakae muona mzuri. Maana kwa maelezo yake ukiyaangalia hata shepu yake haileweki 1 haiingi 7 hayumo. Unaweza kukuta hata kitandani pia Mzigo hana mbwembwe hajitumi yaani yupo yupo tu hajui kujiongeza. Wenzake wakikosa muonekano wanakuwa wajuzi kunako BED, kwa shepu hiyo sijui hata umkunje style gani atakushawishi

Nachukia wananwake wasiojiamini na muonekano wao.
 
Kwanza nikupe pole mamaa ya pita kwa kutojiamini,jua kwa kufanya hivyo unajikosesha mema ya nchi...halafu ilikuwaje mkaoana wakati hamna amani mioyoni mwenu,mlilazimishwa,njaa,ulitaka uonekane naww kwa watu kuwa pamoja na kuzalishwa naww umepata ndoa,mihemko,umri,....ama ni nini hasa??lol
Kuzalishwa. Hakuna neno linanikera kama hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sio mnene ninamwil kiasi tu...mi mrefu, maziwa makubwa kiac, tumbo kubwa miguu miembamba alafu Shep hamna....hua navaa nguo za vitenge gaun ndefu au sket ndefu Sasa mwenzangu anakeleka...leo kwenye sherehe kakagua nguo kasema leo unavaa yale magaun yako nikamwambia mi siendi ndio kapata aman
Jikubali mamaangu atakama ungekuajr ur beautiful the way u are mamaa upendo hauangalii yote ayo shukuru Mungu umeolewa focus kujijenga kiuchumi na kusaidia ndugu zake na mjenge mwanao life is too short my dia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilo ndio tatizo la uchawi,,,,wewe unafikri kwamba mganga anakusadia kumbe anakwalibia....saiv hauna aman ..je kwanin unajeukumu??? Ukweli unaujua ww...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bibiye kwa maelezo yako inaonesha kuna mtu anakusaidia kutunza mumeo pole sana mana unaonekana ni mama wa mashughuli mpaka mumeo hatamani kua na wewe alafu kingine wewe ndo ulie mtongoza na nahisi una wadhfa ndomana mchizi ana kuvumilia ni mtazamo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana...

Sasa mlikubaliana vipi kua pamoja ili hali wote hamjiamini...

Cc: mahondaw
 
Bibiye kwa maelezo yako inaonesha kuna mtu anakusaidia kutunza mumeo pole sana mana unaonekana ni mama wa mashughuli mpaka mumeo hatamani kua na wewe alafu kingine wewe ndo ulie mtongoza na nahisi una wadhfa ndomana mchizi ana kuvumilia ni mtazamo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina ubusy wowote jmn alafu yeye ndie anakipato kikubwa kuliko mimi
 
Back
Top Bottom