Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Haya shogaangu,kesho asbh uanze kunywa maji moto yenye ndimu na tangawizi kidogo,ruka kamba mara 100,.halafu usipende sana kuvaa vijora,..Nitie ata moyo basi jmn
Haya shogaangu,kesho asbh uanze kunywa maji moto yenye ndimu na tangawizi kidogo,ruka kamba mara 100,.halafu usipende sana kuvaa vijora,..Nitie ata moyo basi jmn
Eeeh mulemule ndio penyewe,.au we ulitakaje??eti
Ungeanzia hata pembeni bwanaEeeh mulemule ndio penyewe,.au we ulitakaje??eti
Pembeni hainogi,.
Kama ni hvo suluhisho ni moja tu... Kama kweli uzur unautaka kweli kwa moyo wote....Yuko vzur mno anakipato kizur tu...binafsi pia najishughurisha....nisaidie
Mi sio mnene ninamwil kiasi tu...mi mrefu, maziwa makubwa kiac, tumbo kubwa miguu miembamba alafu Shep hamna....hua navaa nguo za vitenge gaun ndefu au sket ndefu Sasa mwenzangu anakeleka...leo kwenye sherehe kakagua nguo kasema leo unavaa yale magaun yako nikamwambia mi siendi ndio kapata aman
Wewe nae hueleweki mra yeye ndio anajishtukia mara ww ndio hujiamini eti yeye mzuri kushinda wewe...mwanamke toka lini akaanza kujishindanisha uzuri na mumewe?!
Au wewe ni wale wanawake wenye miili mikubwa mpkaka ukivaa nguo nyekundu unaonekana kama kibanda cha M-PESA
Sent using Jamii Forums mobile app

baba umeuwa ila nikushauri kitu kimoja wanawake wengi wanapata miili ambayo hawakuitarajia baada ya kujifungua maana mwili unaongezeka ni kwa muonekano wa nje anonekana mzuri wa kuvutia ila kitu wengi wasichokijua ndyo wanatengeneza ubovu wa miili yao. Mkuuu ww c mtu mwemaWw na mumeo mtapata tabu saana,..na huo ni mwanzo tuu kuna dalili za mtu kuonekana nyambizi..

Hahahahha sasa Rebby hayo manguo ya shape wakati wa kulala ukifika si ndio yaleyale tena anakuwa wogorowogoro,mchana beyonce usiku mwanahawa...wooiii ajipende tuu na abadili lifestyle yake,.hakuna mtu mbaya ni mtu mwenyewe unavyojiwekaim sure mumeo anakujua undani kuwa uko hivyo na bado akakuoa sasa kwa nini unakosa Amani?? mbona wengi wanavaa vitenge virefu kama wewe tu na wanapendeza? kama unaona nguo unazovaa hazikupendezi badilisha fundi..au anza kutembelea ma boutique ya masister doo mjini,tafuta nguo zinazoendana na mwili wako mpaka ukivaa unahisi umependeza,kama hujipendi muonekano wako badilisha ndugu,ukipita mjini kuna nguo za shape zote,ni wewe hujazitafuta...
Msema kweli mpenzi wa maanan" 😃😃😃