Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,544
Kama alikukubali mpk ikafikia hatua ya kukuoa basi alikupenda hivyo ulivyo, usije ukakosa raha kwa mambo ambayo mwenzio wala hayawazi ila ww ndie kutwa kuwaza. Yaweza kuwa ndio jinsi alivyo ila wew labda hujamzoea. Ukihisi unakosa raha sn basi kaa nae umueleze jinsi unavyojisikia, umsikilizie atachokuambia. Naamini utapata amani ya moyo saana, lakini ktk yote hayo usiache kujipenda na kula vizuri. Na acha kujishtukia..

