INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

kumbe unalijua? basi mwache kijana akawatumikie watanzania maana anastahili.
Wala mimi sijasema afukuzwe au hastahili ila inashangaza tu.

Sasa kama wao kujiajiri ni ngumu kwa kiwango hiki sijui wao huwa wanamwambia nani ajiajiri ?
 
Nani anasonga mbele ?

Hivi unawajua kina MO, marehemu Mfuruki ?

Hawa ni watu waliosoma nje pia.

Mtu aliyekuwa mbunge, aliyeenda kutafuta elimu mpaka ng'ambo akirudi kuanza kulialia kusaka teuzi wewe unaona kapiga hatua kweli ?
Kwa hiyo ulitaka awe kama MO? Alafu unajua mipango ya Nassari mpaka unamsemea acha roho ya kwa nini
 
Kwa hiyo ulitaka awe kama MO? Alafu unajua mipango ya Nassari mpaka unamsemea acha roho ya kwa nini
Anayetakiwa kujiajiri ni nani kwani na anatakiwa kuwa na sifa zipi ?

Maana tunaodhani wana resources zote za kujiajiri ndio hao wanavizia teuzi.
 
Nani anasonga mbele ?

Hivi unawajua kina MO, marehemu Mfuruki ?

Hawa ni watu waliosoma nje pia.

Mtu aliyekuwa mbunge, aliyeenda kutafuta elimu mpaka ng'ambo akirudi kuanza kulialia kusaka teuzi wewe unaona kapiga hatua kweli ?
Ila wemtu una roho ya wivu sana,inaonekana umekulia/unaishi kwenye familia ya mtoto wa Kambo,hakuna sehemu umewahi kumsema mtu aliyeonyesha kupata chochote kitu in a positive way nampa sana Mumeo!!
 
Inalipa mbona, umesoma development studies au hotel manegement unakuja kuitwa mheshimiwa, mwenye kit wa kamati yaulinzi na usalama, unatembelea V8.Uteuzi unalipa
 
Ona sasa ulivyoathirika na roho mbaya
Punguza hasira, mimi kushangaa siyo kitu cha ajabu. Naamini kwa nafasi walizokuwa wamepata wangekuwa mbali.

UDC kwa watu kama hao ni nafasi ya kushangaza maana hauna issue. Ni ajira kwa LOOSERS wa somewhere.

Hivi unajua Shaban Kisu na Jerry Muro pia wamewahi kuwa maDC?
 
Alitengenezaje??? Jamani Watanzania tuacheni wivuuuu
Hivi mnajua tafsiri ya wivu kweli ?

Yaani mfano mtu alikuwa Waziri kawa Balozi baadaye anakaa nyumbani mpaka anakuja kupewa uRAS na uDC halafu mtu akishangaa unasema anamuonea wivu kweli ???
 
Kila siku nakuambia tumia akili ya kuzalia kudiscuss mambo. Siasa kulipa ndio teuzi ziwe za namna hii? Wasanii na walimbwende ndio watu wa kupiga kazi kweli?
Kwani wasanii na walimbwende si watu?? Jokate amewa-outperform wengi wa ma-DC. Acheni uchuro wakuu
 
Back
Top Bottom