INAKUWAJE: Umekuwa Mbunge, umesoma nje ya nchi, umefanya kazi Obama foundation lakini bado unavizia teuzi za uDC, uRAS ?

Hivi mnajua tafsiri ya wivu kweli ?

Yaani mfano mtu alikuwa Waziri kawa Balozi baadaye anakaa nyumbani mpaka anakuja kupewa uRAS na uDC halafu mtu akishangaa unasema anamuonea wivu kweli ???
Me nimemaliza mkuu wangu.

Najua ujumbe umeupata. Wacha wivu mkuu
 
Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.

Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.

Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???

Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na mafao ya ubunge.

Kwa hali ilivyo niwapongeze sana GRADUATES mliotoka vyuoni hamna hata 100 isipokuwa deni la bodi ya mikopo halafu mnaambiwa mjiajiri, mnaishi vipi 🤣

Anayetakiwa kujiajiri ni nani kwani na anatakiwa kuwa na sifa zipi ?

Maana tunaodhani wana resources zote za kujiajiri ndio hao wanavizia teuzi.
Ndio maana mnabidi muwakubali sana graduates wanaopambana.

Yaani hao wote wameshakaa bungeni vya kutosha ila wakikosa nafasi tu wanakua frustrated,wengine wananunuliwa kuhama vyama

Wakipata nafasi unasikia Vijana jiajirini 🤣😂🤣😂🤣😂
 
Imagine mtu kama Mashinji pamoja na elimu yote, pamoja na kuwa katibu mkuu CDM miaka 5 lakini alikuwa amekaa tuli anasubiria teuzi🤣
 
Watu ambao ktk maisha yao hawakutafuta kuajiriwa na wenyewe wakajiajiri ni watu ambao lazima waheshimiwe sana hasa ktk nchi ambayo wengi wanaamini katika ajira za serikali.

Ukishazoea kazi ya kuajiriwa siku ukiikosa unakuwa na wakati mgumu sana na ndio maana wengi wa wastaafu wanakuwa na maisha mabaya sana na kuishia kufa miaka michache baada ya kustaafu. Maisha nje ya ajira kwao ni kama samaki 🐟 nje ya maji.
 
Yaani wamekazana tujiajiri, halafu mama akikosea akatukumbuka na sisi kauteuzi wanasema tunaokotezwaokotezwa!
... hivi wapuuzi hawa wanajua kuwa hali tuliyonayo ni petroli inayosubiri tu cheche IJIBU!
🤮 🤮 🤮 💥
 
Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.

Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.

Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???

Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na mafao ya ubunge.

Kwa hali ilivyo niwapongeze sana GRADUATES mliotoka vyuoni hamna hata 100 isipokuwa deni la bodi ya mikopo halafu mnaambiwa mjiajiri, mnaishi vipi 🤣

Anayetakiwa kujiajiri ni nani kwani na anatakiwa kuwa na sifa zipi ?

Maana tunaodhani wana resources zote za kujiajiri ndio hao wanavizia teuzi.
Maisha hayana fomula. Enzi zake Nikki wa Pili akiwa hana hili wala lile alikuwa anatunanga sisi tulioajiriwa kwenye mziki wake wa Sitaki kazi, sitaki kuwa mtumwa. Lakini maisha ni sawa na ugonjwa hayafichiki. Sasa yako wapi?

Ule uchawa ilikuwa ni njaa na hatumaye ameajiriwa akawe mtumwa zaidi.
 
Nani anasonga mbele ?

Hivi unawajua kina MO, marehemu Mfuruki ?

Hawa ni watu waliosoma nje pia.

Mtu aliyekuwa mbunge, aliyeenda kutafuta elimu mpaka ng'ambo akirudi kuanza kulialia kusaka teuzi wewe unaona kapiga hatua kweli ?
same to Lipumba et al.
 
Hawa wamejiteua au wameteuliwa na mamlaka ya rais?.

Ungekuwa ni wewe ungekataa hiyo nafasi?.
 
Hii ni Tanzania baada ya miaka 60 ya uhuru na chini ya chama kimoja!
Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi.

Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana.

Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi kutafuta teuzi ???

Lijualikali alikuwa anatafuta teuzi mpaka analia licha ya kuwa na mshahara, posho na mafao ya ubunge.

Kwa hali ilivyo niwapongeze sana GRADUATES mliotoka vyuoni hamna hata 100 isipokuwa deni la bodi ya mikopo halafu mnaambiwa mjiajiri, mnaishi vipi

Anayetakiwa kujiajiri ni nani kwani na anatakiwa kuwa na sifa zipi ?

Maana tunaodhani wana resources zote za kujiajiri ndio hao wanavizia teuzi tena za uDC!!!!!!
 
Back
Top Bottom