Wewe kiazi ndo hujaelewa kitu.Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Je Kuna mzanzinari sio mtanzania?Ngoja kwanza wale walipewa uraia wa Zanzibar au Tanzania? Kwa sababu Raisi wa Zanzibar hana mamlaka ya kumpa mtu uraia wa Tanzania, kama ndicho alicho fanya basi itakua ni dharau kupita kiasi sasa
Umerukia hoja! Raisi wa Zanzibar anapeanaje uraia wa Tanzania. Yeye siyo raisi wa Tanzania.Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Je kuna mTanzania siyo mZanzibari?Je Kuna mzanzinari sio mtanzania?
Hana mamlaka ya kutoa uraia ,iwe JMT au SMZAnayo mandate ya kutoa uraia wa Tanzania? au kawapa uraia wa zanzibar........wahusika tudadavulieni hapa.
Exactly, kumbe hata huo uraia wa zanzibar tu hana mamlaka nao, ndo mambo ya kujimwambafy hadi kuingilia mamlaka ya mkuu wa nchi.Hana mamlaka ya kutoa uraia ,iwe JMT au SMZ
Kazi hyo inafanywa na Rais wa JMT
Kama nitakuwa Niko sahihi mtoa maada anamanisha kuwa kwanini uraia wa Tanzania utolewe na Rais wa Zanzibar na siyo Rais wa JMT?au pengine waliopewa uraia watakuwa ni raia wa Zanzibar peke yake na siyo raia wa JMT?.Umeelewa habari husika au unaendeleza chuki za kijinga tu. Ukiwa na chuki hata uwezo wa kuchambua taarifa unapungua na kuangukia katika kuhalalisha chuki zako.
Long story short waliopewa uraia sio Watanzania ni raia wa Comoro, Msumbiji, Rwanda n.k waliokaa Tanzania kwa zaidi ya miaka 50. Itakua ajabu sana Mtanzania kupewa uraia wa Tanzania.
Lakin mambo ya kisheria ni very complicated ,yule ni Rais hauwezi jua labda kuna kifungu Fran Fran kimeelezea mazingira yatakayofanya rais wa SMZ atoe uraia,c unajua Sheria zetu wakati mwingine kifungu A kinakaza,kifungu B kinaluhusu.so janja janjaExactly, kumbe hata huo uraia wa zanzibar tu hana mamlaka nao, ndo mambo ya kujimwambafy hadi kuingilia mamlaka ya mkuu wa nchi.
Nenda uhamiaj pale. Mabwege tu wanagawa uraia kila kukicha.. hela yako tu.Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine.
Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao waliopewa uraia na mwinyi wanaweza kuja huku bara wakiwa na haki sawa za utanzania.
Kwa nini Rais wa Jamhuri ya muungano asingetoa huu uraia au aliyeandika kapotosha?
Sheria na protocol zimekaaje kwako Pascal Mayalla
Soma: Rais Mwinyi awakabidhi vyeti vya uraia wa Tanzania wahamiaji wasiohamishika 3,319
Hili ni tatizo that's why ni muhim kupunguza madaraka kwa Rais, cz angle hii ya kutoa uraia ilipaswa ishughulikiwe na maafisa pia na wataalam wa masuala ya kimataifa ili kufanya uchunguzi wa kina kuhusu muombaji. Then jopo zima liliridhie kua anastahili kupewa uraia ama la!!Niliona is sijaingia kwa undani, ila uraia wa JMT unatolewa na mamlaka moja tuu, rais wa JMT.
P
@FaizaFoxy anakuambia Zanzibar nayo ni nchi!Ndo anauliza kwanini Rai's Mwinyi ambaye ana hadhi ya Mkuu wa Mkoa ndani ya Jamhuri ya Tanzania awe na mamlaka ya kuwapa raia wa nchi nyingine uraia Wa Tanzania? Anauliza kwamba hayo Mamlaka siyo ya Rai's wa Jamhuri ya Muungani Wa Tanzania?! Mwinyi ameyatoa wapi?
Kumbuka Zanzibar siyo nchi, ni sehemu ya Tanzania kama ilivyo Kigoma au Mbeya.