Inakuwaje!! Nyodo Unatoa wapi?

Inakuwaje!! Nyodo Unatoa wapi?

Hivyo vyote ambavyo hana ni kwa mtizamo wako, wake au wa kila mtu anaemzunguka??
 
Yaani unakuta mtu,
Akili hana,
pesa hana,
mvuto hana,
Lakini nyodo kibao.

where are they coming from?
kama ni from bed unajidanganya, si kila mtu unaemletea nyodo atakulala.

Watchout!!
Maisha ya kuringa uwe na kitu.
si bure.

akishanyimwa utamjua tu,anakimbilia jf kutoa stress
 
ukiona hivyo ujue papuchi tamu tamu kama sukari, shauri yako we angalia hivyo tu, jiulize kwa nini mtu vyote anavyo akikosa papuchi tamu yenye kujua kudinyana ndio utajua kwanini analinga. kama umetoswa kanunue.
 
Watu wengi wenye insecurities wanapenda kujificha nyuma ya mask fulani km vile vyeo, elimu, uzuri, pesa etc usije kushangaa mtu kama huyo self confidence hakuna
 
Mungu hakupi vyote na hakunyimi vyote.Ona wale wadada wa klm,vimiguu vyembamba,tasteless papuchi,jeuri na dharau 100% lakin akili ya kutafuta pesa ipo!
 
Yaani unakuta mtu,
Akili hana,
pesa hana,
mvuto hana,
Lakini nyodo kibao.

where are they coming from?
kama ni from bed unajidanganya, si kila mtu unaemletea nyodo atakulala.

Watchout!!
Maisha ya kuringa uwe na kitu.
si bure.

Kakuvuruga????
 
Yaani unakuta mtu,
Akili hana,
pesa hana,
mvuto hana,
Lakini nyodo kibao.

where are they coming from?
kama ni from bed unajidanganya, si kila mtu unaemletea nyodo atakulala.

Watchout!!
Maisha ya kuringa uwe na kitu.
si bure.
Hivi mtu anawezaje kujijua kuwa hana haya yote hebu kuwa mkweli mkuu je wewe unajua unachopungukiwa kweli. Unaweza ukajua huna pesa lkn hayo mengine ni vigumu sana kuhisi au kufikiria huna.
 
Kuwa yeye tu kunatosha kumpa nyodo!
Hayo unayotafsiri wewe kuwa ni ukamilifu kwake si kitu!
Poyeeeeeeeeeeeee
Hahahahaah yaani mtu aanze tu kujiona hana mvuto sijui kama inawezekana nafikiri mtoa mada kuna kilichomchanganya si bure.
 
Yaani unakuta mtu,
Akili hana,
pesa hana,
mvuto hana,
Lakini nyodo kibao.

where are they coming from?
kama ni from bed unajidanganya, si kila mtu unaemletea nyodo atakulala.

Watchout!!
Maisha ya kuringa uwe na kitu.
si bure.

Kwani mkuu we hujui wabaya siku zote ndio wanaoringa???
 
Haaah mleta Uzi soma comment za watu znatosha kukutoa stress
 
Kuachwa ×2
Kuachwa ni shughuli Pevu. ..
Wewe unakonda ....
Yeye ananenepa. ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom