Inakuwaje!! Nyodo Unatoa wapi?

Inakuwaje!! Nyodo Unatoa wapi?

kuwa binadamu hai mwenye viungo kamili,afya nzuri,uwezo wa kuchanganua baya na zuri ni akili timamu ni sababu tosha kuringa what else?!!!!!!
 
Kila mtu ana akili sema tu tunatofautiana, kila mtu ana mvuto, na mvuto wa mtu sio lazima uwe kwa wote....
 
Kila mtu ana akili sema tu tunatofautiana, kila mtu ana mvuto, na mvuto wa mtu sio lazima uwe kwa wote....

umeona eeeh kama ye anaona hana akili,mvuto, kuna wanao ona hivyo vigezo vipo
 
Ngoja miss neddy apitie hapa
Hahahaaa! mkuu, Lizzy ni dada yangu, mtu wangu wa karibu kabisa!
Yani ukimuna huyo, basi jua 'she is very important to me!

sidhani kama miss neddy anaweza kumuonea wivu! lol
 
Last edited by a moderator:
umeona eeeh kama ye anaona hana akili,mvuto, kuna wanao ona hivyo vigezo vipo

ndo ivo..unakuta mtu anaamini mtu aliye naye ni full mvuto kumbe wengne pembeni wanajiuliza ivi kampendea nin huyo???
 
Hahahaaa! mkuu, Lizzy ni dada yangu, mtu wangu wa karibu kabisa!
Yani ukimuna huyo, basi jua 'she is very important to me!

sidhani kama miss neddy anaweza kumuonea wivu! lol

siwezi kuona wivu ukishaweka neno sis roho yangu kwatuuuuuu cc Tee Bag
 
Last edited by a moderator:
Kakosa vyote hvo sasa abak na nn?? Mwache akunyodoe babu
 
si umwambie hukohuko, hapa wala hayupo.
 
Aisee sasa kama ushaona mtu hana akili japokuwa ni kwa mtazamo wako inakuwaje tena ushangae na kujiuliza ni kwa nini awe na nyodo???!! Nasema hivi kwa sababu kwa mtu ambaye hana akili hata kama atakuwa na vitu vingine vyote ulivyovitaja huwezi kumshangaa kwa tabia yeyote iwe mbaya au nzuri. Kukosa kwake akili ni sababu tosha ya tabia yeyote ile utakayoiona.

Labda ujiulize wewe ni kwa nini unadhani hana akili? Na je sio wewe ndiye unajiona uko juu na wa maana sana??
 
huhuhuuuuu acha watu waringe bana nyodo kama hawanyi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom