Inakuwaje mwanamke anamtawala Mwanaume?

Inakuwaje mwanamke anamtawala Mwanaume?

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,011
Reaction score
1,915
Wakuu.

Usiruhusu kamwe mwanamke akawa juu kimaamuzi,

Now days kumekuwa na wimbi la wanawake wakitaka nusu kwa nusu na hii wameileta katika familia.

Unakuta kuna nyumba mwanamke utafikiri yeye ndo mwanaume Yaani Muda wote Muongeaji Yeye,mfanya maamuzi yeye., Nafasi ya mwanaume haionekani tena.

Yaani mwanamke anapangia hadi upande wa mwanaume wafanyiwe nini na nini kisifanyike

Ujinga mkubwa mwanaume ulioa au single kidada au mwanamke yoyote kukatawala wewe na familia yako..

Vijana kataa Ndoa
Ndoa Utumwa.
Ndoa Ujinga.
Ndoa ni Upotevu wa mali na muda.
 
ANZA KUSHANGAA HAPA BONGO MBONA TUNATAWALIWA NA MWANAMKE
 
Wakuu.

Usiruhusu kamwe mwanamke akawa juu kimaamuzi,

Now days kumekuwa na wimbi la wanawake wakitaka nusu kwa nusu na hii wameileta katika familia.

Unakuta kuna nyumba mwanamke utafikiri yeye ndo mwanaume Yaani Muda wote Muongeaji Yeye,mfanya maamuzi yeye., Nafasi ya mwanaume haionekani tena.

Yaani mwanamke anapangia hadi upande wa mwanaume wafanyiwe nini na nini kisifanyike.

Vijana kataa Ndoa
Ndoa Utumwa.
Ndoa Ujinga.
Ndoa ni Upotevu wa mali na muda.
Hao ma-gays wame haribu vijana, kwa kuhamasisha wakatae ndoa, ili waingie kwenye ya jinsia moja, mashoga wegi jamani mue makini hizo slagons za kijana kataa ndoa.
 
Hao ma-gays wame haribu vijana, kwa kuhamasisha wakatae ndoa, ili waingie kwenye ya jinsia moja, mashoga wegi jamani mue makini hizo slagons za kijana kataa ndoa.
Ndoa ni upumbavu tulikaririshwa zama zimepita akili ishakuwa kubwa ndo tunaikataa ndoa
 
Ndoa ni upumbavu tulikaririshwa zama zimepita akili ishakuwa kubwa ndo tunaikataa ndoa
Tofauti kati ya binadamu na mnyama ni ndoa. Ndoa iwe ya kidini, kimila au kiserkali inahalalisha mwanamke na mwanaume kuishi pamoja na kupata watoto. Hatuwezi kuishi kama wanyama na kuzaana kama wanyama bila kutambua kuna baba, mama, dada, kaka, na ndugu ambao hatuwezi kujaamiiana na kuzaa.

Ndoa inatutofautisha na wanyamama, kwamba hata kama una nyegezi hizo nyegezi unazielekeza kwa mkeo. Ukioa na kuzaa mnawatunza watoto pamoja. Mpaka sasa tunaingiwa na changamoto za wale wanaozaa nje ya ndoa na kushindwa kutumiza majukumu yao kutunza watoto. Ndoa ni muhimu na ni nzuri, lakini chagua mwenza anayekufaa na kukubali.
 
Tofauti kati ya binadamu na mnyama ni ndoa. Ndoa iwe ya kidini, kimila au kiserkali inahalalisha mwanamke na mwanaume kuishi pamoja na kupata watoto. Hatuwezi kuishi kama wanyama na kuzaana kama wanyama bila kutambua kuna baba, mama, dada, kaka, na ndugu ambao hatuwezi kujaamiiana na kuzaa. Ndoa inatutofautisha na wanyamama, kwamba hata kama una nyegezi hizo nyegezi unazielekeza kwa mkeo. Ukioa na kuzaa mnawatunza watoto pamoja. Mpaka sasa tunaingiwa na changamoto za wale wanaozaa nje ya ndoa na kushindwa kutumiza majukumu yao kutunza watoto. Ndoa ni muhimu na ni nzuri, lakini chagua mwenza anayekufaa na kukubali.
Hoja dhaifu Tofauti ya mwanadamu na mnyama ni ndoa.

Umezingatia kigezo kipi? Dini au kibailojia
 
Vijana wangu oeni
Ukipata mke mwema utafurahia Dunia
Ukimpata mcharuko utakuwa Mwanafalsafa.
 
Wakuu.

Usiruhusu kamwe mwanamke akawa juu kimaamuzi,

Now days kumekuwa na wimbi la wanawake wakitaka nusu kwa nusu na hii wameileta katika familia.

Unakuta kuna nyumba mwanamke utafikiri yeye ndo mwanaume Yaani Muda wote Muongeaji Yeye,mfanya maamuzi yeye., Nafasi ya mwanaume haionekani tena.

Yaani mwanamke anapangia hadi upande wa mwanaume wafanyiwe nini na nini kisifanyike

Ujinga mkubwa mwanaume ulioa au single kidada au mwanamke yoyote kukatawala wewe na familia yako..

Vijana kataa Ndoa
Ndoa Utumwa.
Ndoa Ujinga.
Ndoa ni Upotevu wa mali na muda.
Wanawake wa wapi hao wanakuwa wababe kwenu?Mnasikitisha sana.Bora mniite mkorofi.
 
Nilipokuwa mdogo sikujuwa maana ya ule usemi wa ,,
Leo hakuliki wala hakulaliki humu ndani

Nikiangalia chakula kinapikwa na tunakula kama kawaida,
Na tunalala kama kawaida,,
Mbona sielewi?
Hakuliki wala hakulaliki Leo humu ndani,

Kwa sasa nimeshakuwa mtu mzima,, nimeelewa Ile kauli inamaanisha nn

Kuwa na mke Kwanza halafu utaelewa kwann mwanaume anatawaliwa na mwanamke..

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom