Inakuwaje mwanamke anamtawala Mwanaume?

Inakuwaje mwanamke anamtawala Mwanaume?

Wakuu.

Usiruhusu kamwe mwanamke akawa juu kimaamuzi,

Now days kumekuwa na wimbi la wanawake wakitaka nusu kwa nusu na hii wameileta katika familia.

Unakuta kuna nyumba mwanamke utafikiri yeye ndo mwanaume Yaani Muda wote Muongeaji Yeye,mfanya maamuzi yeye., Nafasi ya mwanaume haionekani tena.

Yaani mwanamke anapangia hadi upande wa mwanaume wafanyiwe nini na nini kisifanyike

Ujinga mkubwa mwanaume ulioa au single kidada au mwanamke yoyote kukatawala wewe na familia yako..


Vijana kataa Ndoa
Ndoa Utumwa.
Ndoa Ujinga.
Ndoa ni Upotevu wa mali na muda.
Ukiona hivyo ujue tatizo ni la mwanaume. Mwanaume kwanini utawaliwe? Jiulize
 
Mwanaume kutawaliwa na Mwanamke ni kosa la Mwanaume husika,
Ukisimama kama Mwanaume hakuna atakaye kudharau au kukutawala,
Tatizo siku hizi kumekua na Wanaume Legelege sana halafu wanakuja kulia lia hapa JF

Simama kama Mwanaume uone kama kuna mtu atajaribu kukutawala,
If u don't change u will never get nowhere with that.
 
Mwanaume kutawaliwa na Mwanamke ni kosa la Mwanaume husika,
Ukisimama kama Mwanaume hakuna atakaye kudharau au kukutawala,
Tatizo siku hizi kumekua na Wanaume Legelege sana halafu wanakuja kulia lia hapa JF

Simama kama Mwanaume uone kama kuna mtu atajaribu kukutawala,
If u don't change u will never get nowhere with that.
Ujinga sana aiseee
 
Ukiona tabu kuoa fanya mpango uolewe msilete pigo zenu za kishoga mafiraun nyie tushawastukia mnaosema usioe kumbe wengi wenu speaker zenu zishazibuliwa
 
Kuitwa MWANAUME sio kuwa na uume. Ukilitambua hilo mwanamke hawezi kukuleta maseke yake hata siku moja
 
Tofauti kati ya binadamu na mnyama ni ndoa. Ndoa iwe ya kidini, kimila au kiserkali inahalalisha mwanamke na mwanaume kuishi pamoja na kupata watoto. Hatuwezi kuishi kama wanyama na kuzaana kama wanyama bila kutambua kuna baba, mama, dada, kaka, na ndugu ambao hatuwezi kujaamiiana na kuzaa. Ndoa inatutofautisha na wanyamama, kwamba hata kama una nyegezi hizo nyegezi unazielekeza kwa mkeo. Ukioa na kuzaa mnawatunza watoto pamoja. Mpaka sasa tunaingiwa na changamoto za wale wanaozaa nje ya ndoa na kushindwa kutumiza majukumu yao kutunza watoto. Ndoa ni muhimu na ni nzuri, lakini chagua mwenza anayekufaa na kukubali.
Ndoa ilikuja na utu kma utu haupo kataa ndoa ni utapeli
 
Back
Top Bottom