CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,255
- 12,872
mamboz wana jf, polen kwa kuimiss jf. Hivi ni kwanini watu wanaweza kumudu kuwa wapenzi "boyfriend na girlfriend" kwa muda wa mwaka au zaidi ya mwaka then wakifunga ndoa hawamalizi hata mwaka wanatalikiana?? hii inatokana na nini?