inakuwaje mnakuwa wapenzi

mamboz wana jf, polen kwa kuimiss jf. Hivi ni kwanini watu wanaweza kumudu kuwa wapenzi "boyfriend na girlfriend" kwa muda wa mwaka au zaidi ya mwaka then wakifunga ndoa hawamalizi hata mwaka wanatalikiana?? hii inatokana na nini?

Kuna tabia mbaya ambayo haionekani sana katika gf+bf, "bullying"!! Kabla ya ndoa kuna superficial equeality kati ya bf+gf na baada ya ndoa "bullying" huanza, ni ile kutaka kuonesha kuwa "I" am in control of this relationship!! Ni katika kujitetea kupinga hii bullying ndio mambo mengine hujitokeza. Kwa ufupi, taking the relationships for granted happens more in marriages than gf+gf relationship!! One thinks the other cant call it quits easily unlike gf+bf where quiting is a piece of cake!!

Kuna myth moja na nitaomba tusaidiane hapa. This has to do with 7!!! There is a superstitious myth kuwa if a marriage survives the first 7 years, "until death do us part" will be the only thing left. Nimefanya tafiti kidogo na inaonekana ndoa nyingi zilizokufa ni kabla ya 7 na chache baada ya 7. Inadhaniwa kuwa accepting 80% of the other starts after age 7!! Great sense of "acceptable and responsibility" starts after 7, kabla ya hapo egos are just enormously heavy kwa wanandoa.
 
mamboz wana jf, polen kwa kuimiss jf. Hivi ni kwanini watu wanaweza kumudu kuwa wapenzi "boyfriend na girlfriend" kwa muda wa mwaka au zaidi ya mwaka then wakifunga ndoa hawamalizi hata mwaka wanatalikiana?? hii inatokana na nini?
wengi wakiwa mbali wanaficha makucha yao ila pale mkiaanza kuishi wote yani ukiamka asubui mtu wa kwanza kumuona ni huyo na usiku mtu wa mwisho kumuona ni yeye kabla ya kulala basi itafikia hatua utashindwa kuyaficha makucha yako na atakujua tu na hapo ndio ndoa huenda mrama bada ya kujuana kwa undani zaidi
 
sasa kuna maana gani kuwa wapenz kabla ya ndoa. me nafikiri ndoa yahitaji uvumilivu wa hali ya juu make kila m1 anakuwa amekulia ktk mazingira tofauti tofauti!
hapo kwenye line kuna vingine havivumiliki kabisa yani na haviwezi kubadilika kabisa bora tu muachane@Charminggirl
 
Karibu mwaya Charminggirl, maisha haya we acha tuu. Sometimes ujue tunashindwa na hisia za miili. Sual la ndoa lahitaji sana hekima na kuushirikisha ubongo pia. Hatatakiwi kutawaliwa na hisia zaidi. Eti utasikia mtu anamwambia mumewe "siku hizi hunipendi, mbona zile baby baby siku hizi hazipo?", ilhali wana watoto tayari. haya ndo mambo yanayoaleta mitafaruku kwa ndo za siku hizi.

Ndoa ni taasisi, bwana, haitofatuiani na Serikali, lol. Akili kichwani ndo itawale matendo yoote ya ndoani.

Bombu me love your mchango banaaaa
 
Watu wakioana wanajisahau na kuchukuliana kirahisi rahisi tu! Wanandoa wakizoeana sana dharau zinaanza kila mmoja anamuona mwenzie si lolote si chochote!.kuitana baby,mpenzi hakupo tena,kutumiana zawadi ndo basi tena yaani kila kitu vurugu!.
Ndo mana mi bado nipo nipo naendelea kufaidi vya huku nje lols!
 
hahaa Purple ndan pia kuna raha yake bana. hebu ingia thou hata me still nipo nje! unajua ukisikia kicheko kwa jiran utataka ujue wanacheka nini na ukisikia kilio utataka ujue wanalilia nini. so jaribu kuingia ili ujue raha na karaha za ndoa! lmao...
 
hapo kwenye line kuna vingine havivumiliki kabisa yani na haviwezi kubadilika kabisa bora tu muachane@Charminggirl

lakini ni kwanini tunavunja vile viapo? me nadhan hv viapo vingefanyiwa marekebisho mana havina maana tena... CUTE
 
wakati wa bf na gf kuna mambo ambayo wawili hawa wanapofushwa na "mapenzi"
na mara nyingi tafsiri ya "mapenzi" kipindi hicho ni ngono toshelezi.
inapokuja kwenye ndoa (hususan baada ya mwaka au kabebi kuwasili) mume au mke
huchukulia ngono toshelezi "for granted" na hutoa kipaumbele katika majukumu mengine
mfano matumizi nyumbani, huduma ya malezi nk. sasa hapo ndio matatizo huanza
kwani "ngono toshelezi" huanza kutafutwa nje ya ndoa. yanafuata hapo ni historia lol
 
Back
Top Bottom